Ilikuwa ni safari ndefu kidogo,tulikuwa tukitoka Dar kwenda Tunduru,pembeni yangu alikaa binti flani hivi,hakuwa mzuri kiviile yani wa kati tu ila anafaa kwa matumizi.
Huwa sina utaratibu wa kuwa na mazungumzo na wanawake hasa niwapo na safari ndefu bora mwanaume mwenzangu maana naamini atanijali nikipata tabu huko niendako ila wadada huwa nawapotezea tu japo wanaeza nisaidia ila si moja kwa moja maana waliowengi wakishuka tu utakuta ansubiriwa na njemba au ndugu zake
Basi nikauchuna,tulipofika Nangurukuru pale hotelini,mimi sikushuka maana huwa sina utaratibu wa kula safarini hata kama naenda nyabisezo.
Punde akarudi na zile chips akaanza kunilazimisha tule nikakataa safari ikaendelea,
Wakati tukiiacha lindi mmakonde uzalendo ukamshinda akaanza ww mkaka je?!unaonekana u mpole sana maana ntu mwingine mkikutana ataanza kuzoea hapohapo hata hamjafika mbali anataka kukutongoza,ukikataa lazima aombe namba mwisho wa siku akusumbue,ujinga huo nani anataka kah(in makonde lafudhi)
Basi nikawa namchora akanisifia wee mi niko kimya,ikabidi nimpe ushirikiano kidogo likawa kosa akafungunguka mengi akanizoea mwisho wa siku akataka namba ya simu yeye sasa na huwezi amini sikumpa,ikafikia hatua akatamka kwa nguvu au wewe ni usalama maana tabia zako sizielewi
Ooohoo nikaona hii sasa shida nikaingia mfukoni nikatoa simu nikampa aandike yake ila sio yangu nimpe ni utaratibu wangu jina nikamwambia Kudo.
Sasa wanaume wenzangu wale mnaojiita vibebten unamtokea mwanamke hata dakika tano za mazingumzo hamna wewe ni voko tu vivoko vyenyewe ni vile vya
"aah u no aaah si aaaa"dadeki cha ajabu unalamba midomo unalegeza sauti,unalegeza macho dah asee mwaniungusha wanaume wenzangu
Mwanamke yeyote anapenda kumzoea mtu kwanza kabla hajaambiwa atoe Papa japo anajua kabis lengo lako ni hilo,mwanamke ukimtongoza mwangalie usoni jicho kavu kabisa bila kupepesa,hapo akikutazama basi anaangalia pembeni,ukikoleza uzi kama hakuna pa kushika ndo utaona anajingata vidole,...it means umemwondolea ujasiri kiasi flani,wale wa vijijini atainama ataokota vijiti basi atavivunja wee Ukitoka hapo wew mshindi goli tano kwa yanga.
Wanaume acheni kuuliza wanawake eti " umeolewa,unaboy,.dadeki hapa utaishia kumkwaza tu na atakwacha mataa hata kama alianza kukutilia maanani,
Wanaume acheni kuwauliza wanawake eti umetembea na wanaume wangapi hahaa afu walivyo nao jibu lao fupi tu "mmoja"aliekustahi saana atakwambia wawili dadeki wew shusha voko acha umbwiga huo.
Hhoohooo utapishana na mke hivi hivi kwa vitabia mshenzi hivyo na mwanaume wa kweli hatongozi kwa simu wewe omba namba kama una haraka,mpange muonane Open Space akija shusha vitu yaani nenda laivu,jichovkwa jicho kwanza inatia hamasa hata akikubali umgegede siku akija baada ya kukubali ombi lako unajua kabisa demu karidhia sasa hivi mnapotongoza kwa visimu ndo zile demu anakwambia tuma nauli nije dadeki unakosa sifa asee kwanza hata mwanamke atakuona hufai kidizain hiv
Unajua mwanaume wa Kweli ni yupi anetoka Makumbusho kwa mguu anafuata kumeendea demu mabibo au komakoma,
Afu ukifika piga stor unazotaka sepa,siku ukimwona kwako uanajua kabisa kafuata mtoto...
Afu kuna mtu atakuja ataquote uzi woote afu anakomenti vineno viwli tu
Asalaam kudo