Utake usitake ushoga utakuingiza kaburini

Nina mashaka na msimamo wako juu ya hili jambo.
Msimamo wangu ni wangu na msimamo wa watu wengine ni wao bila kuingiliana.

Unapotetea au kupinga kitu fanya hivyo kwa kuzingatia Uhuru na imani tofauti za watu usidhani kila mtu ana imani Kama zako au values zako ndo zake.

Kila mtu atakufa, kila mtu anaweza pata ukimwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi shetani naye alishawahi kuwa shoga au hii dhambi binadamu kaibuni wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…