Hebu mpatie hoja za msingi za kupinga!Usipokuwa shoga hufi? Kama sio shoga huwezi pata ukimwi? Vp kama wao hawaamini uwepo wa Mungu.
Tatizo lenu mnapinga ushoga kwa hoja dhaifu mno na kudhani kila mtu anashare beliefs zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye mpingaji ndo aje nazo sio upuuzi wa sijui watakufa as though straight people hawafi au story za Mungu bila kujua wengine hawaamini hata kama huyo Mungu yupo.
For sure walahi
******* WOTE WANAKUFA MAPEMA SANA!
HUWA HAWAFIKI MIAKA 35 WALAHI
USENGE NA USAGAJI NI LAANA KUU HAPA DUNIANI NA KIFO CHA MAPEMA NI LAZIMA WALAHI!
That’s all
Nina mashaka na msimamo wako juu ya hili jambo.Usipokuwa shoga hufi? Kama sio shoga huwezi pata ukimwi? Vp kama wao hawaamini uwepo wa Mungu.
Tatizo lenu mnapinga ushoga kwa hoja dhaifu mno na kudhani kila mtu anashare beliefs zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hipo wazi Unless husomi maandiko...Dhambi iloiharibu na kumfanya Mungu aichome sodoma na gomora ni suala la Ushoga . ..hii kitu Mungu anaichukia kupita kiasi.Me nadhani msijivalishe viatu vya Mungu kila mtu abebe fulushi lake we nani mpaka useme eti utaenda motoni as if unapajua vile .....ishi maisha yako mkuu ukimpendeza Mungu inatosha ila usijivike umungu kwa kuhukumu mashoga....