tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
huwo ni mfano tu mkuu mbona zipo nyingi feki ambazo sinafanan sana sanaKama ni s5 hiyo kwa laki sita sio original
huwo ni mfano tu mkuu mbona zipo nyingi feki ambazo sinafanan sana sana
vp inakutolea vitu kama draft hivi sasa jaribu to click iko chumba chenye kivuli cha rangiHiyo formula yako ina apply vile vile kwa galaxy note 3? Ukiweka hivyo huyo mbwa haji
vp inakutolea vitu kama draft hivi sasa jaribu to click iko chumba chenye kivuli cha rangi
jaribu bluu,kama aitoi uyo mbwa alielala mkuu hata laini moja feki iyooo kwani ulichukua bei gani na wapi?Yes inaleta draft na zikionyesha red, blue etc. Ukibonyeza red the whole screen inakuwa red. What is the implication of this please
jaribu bluu,kama aitoi uyo mbwa alielala mkuu hata laini moja feki iyooo kwani ulichukua bei gani na wapi?
Sidhani kama hiyo picha ya mbwa ni kwa aina zote za samsung.
Mie nina min ukipiga hiyo code inaleta menu ya LCD TEST
Fake hiyo mjombaInaonyesha bluu screen nzima! hakuna mbwa
Fake hiyo mjomba
sijaiyona simu yako mkuu na nashidwa kukupa jibu la moja kwa moja kama alilokupa jamaa ila samsung nyingi galaxy ukipiga iko code itakuletea draft then una click itakuletea picha ya mbwa amelala chini, iyo ndio unagundua cm yako iyo ya samsung ni original korea nature,kuna zingine laini moja ila feki kila kitu kiko sawasawa kama original tafauti ni uyo mbwa tu iyo feki mbwa atokeiSikatai ila ulaya kuna maduka ambayo vitu fake havitakaa vinuse, sasa unaponiambia fake, naogopa
sijaiyona simu yako mkuu na nashidwa kukupa jibu la moja kwa moja kama alilokupa jamaa ila samsung nyingi galaxy ukipiga iko code itakuletea draft then una click itakuletea picha ya mbwa amelala chini, iyo ndio unagundua cm yako iyo ya samsung ni original korea nature,kuna zingine laini moja ila feki kila kitu kiko sawasawa kama original tafauti ni uyo mbwa tu iyo feki mbwa atokei
Ulaya ipi mjomba mashariki au magharibi ,maana Russia nayo ulaya lakini unakula za USO Kama kawaSikatai ila ulaya kuna maduka ambayo vitu fake havitakaa vinuse, sasa unaponiambia fake, naogopa
Ulaya ipi mjomba mashariki au magharibi ,maana Russia nayo ulaya lakini unakula za USO Kama kawa