Nikwamba, ukiwa na mapacha hCG Inakua juu sanaa
Nakwakua hCG inafanana kwa ukaribu na TSH, itaenda kusababisha TG kuzalisha kwa wingi T3 na T4
Sasa hizi T3 na T4 ndo zinfanya mama apatwe kitu kinaitwa Hyperemesis gravidarum ..mama atatapika sanaaaa, Atachoka saaana, kizunguzungu , Hana hamu ya kula kabisa
Hawa mpaka huwa wanalazwa.
Lkn njia sahihi na ya uhakika nikufanya FT-US