HahajahahhahahID fake hizi! Unaweza kukuta muanzisha mada ndiye muhusika mwenyewe, anapima upepo.
HahahahhaID fake hizi! Unaweza kukuta muanzisha mada ndiye muhusika mwenyewe, anapima upepo.
Masoud Kinana should have done this ages ago
Ha ha , ndo jinsia yako? wewe ni mwanamke? maana huyo kijana ni mtoto mdogo sana tu, sasa kama unamwona CELEB haihitaji rocket science kujua uko obsessed naye
Soma post yangu, haina povu, ina ushauri na kukupa muono mpana
ukakimbilia kwenye insult! jaribu kuelewa mtu mkuu
hatuendi hivyo
labda atakuwa mtoto wa kanali KinanaMasoud Kinana ndio nani huyo mkuu?
basi na we ushabutuliwaAnabutua vitoto vya watu juu kwa juu
Hao washamba uliowataja hawana mafaili yoyote ya maana ya hapa mjini, hao wanakopi habari za shigongo na insta. Wenye mainfo ya maana wengi siku hizi wamepotea ili jukwaa, wazoefu tunawatambua ningekutajia wachache ila uwezi wajua we umekuja juzi jf.
na redio pia anayo... ila ndo inaelekea kufunguliwa... pia ni reporter wa DSTVAna kampuni inayodeal na matangazo na marketing agency ipo mikocheni...pamoja na online tv
Angalia hii video, kuna mahali anashuka kwenye gari hiyo ndio gari yake. I see you are surprised!!! Yes he is making millions of money but that's his car.
ID fake hizi! Unaweza kukuta muanzisha mada ndiye muhusika mwenyewe, anapima upepo.
Exactly!This guy is probably the most humble famous person in Tz
Shindwa na ulegee..basi na we ushabutuliwa