Huwa tunasoma vitabu vya dini na kusikia baadhi ya wahubiri wa dini wakisema tajiri kuingia peponi ni vigumu kama ngamia kupita ktk tundu la sindano, hili jambo linatakiwa tulitafakari saana kwa maana ya kweli kama ndivyo hivyo tajiri wa mali asiye nabii wa mungu aongoze wananchi wakawaida kisiasa tena katika nafasi kuu ya uraisi kwa kuwaahidi mambo mengi ili hali anaweza kuyafanya hayo bila hata kuwa kiongozi kwa kutoa sadaka, zaka na misaada mingine, mshangao ni pale wenye uwezo wa utajiri ndo hupendelea sana hiyo nafasi ya uongozi tena ya uraisi wala sio uwaziri wa Afya au elimu, hapo ndo majibu magumu labda baadhi mtakua nao!