samwel boaz JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 269 Reaction score 143 Aug 5, 2017 #1 Habari wana jf, nataka kujua ni kweli kwamba kuna waganga wa jadi wanaotoa utajiri au ni maneno tu?. Maana kumekuwa na utitiri wa mabango barabarani kuhusu matangazo ya waganga hao Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana jf, nataka kujua ni kweli kwamba kuna waganga wa jadi wanaotoa utajiri au ni maneno tu?. Maana kumekuwa na utitiri wa mabango barabarani kuhusu matangazo ya waganga hao Sent using Jamii Forums mobile app