''Au wanaume/wanawake wa kwenye social networks ndo wanajua sana mapenzi.''
Upo sahihi kabisa kwa kuwa wanawake wa kwenye social networks wanatoka sayari ya Mars.
Unachojifanya hujui ni kuwa watu wa mitandaoni JF in particular ni watu wale wale wa mitaani kwetu, makanisani , misikitini na kwingineko.
Kuna baadhi yetu hapa tuna marafiki na ndugu ambao wapo jamii forum kutoka kada mbalimbali.
Kwahiyo swala hapa si kujua ama kutokujua mapenzi ni sehemu tu ya kutukutanisha.