Nimekutana na matukio kama hayo matukio hayo mara nyingi yaani mtu anakuona kama hoe,Sina shida ndogondogo kiukweli wananikwaza na Huwa nawafurahisha wakati mwingine.
Mf. 1 anatoa simu yake umpe namba anaweka na Hela juu kwangu it's big NO.
Mf. 2 ninapokula lunch navuka barabara kwenda next side it's a walking distance Kuna siku Alphard ikasimama Kuna jamaa mmoja anaendesha mwingine yupo Siti ya abiria, yule wa Siti ya abiria akashuka ananiambia Mimi panda na mwingine anachangia yaani walinikwaza do they think am cheap to that extent.
Hiyo ni kdg Tu ninamengi ya kuhadithia.
Wengine sio cheap hivyo, baadhi yetu wapo kwa ajili yenu ambao mtaenda nao kwa pigo hizo.