M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,774 Reaction score 54,845 Sep 26, 2022 #21 Unique Flower said: Hapana anataka mtu tu akupime Click to expand... Mnataka kujua uwezo wa mtu wa kuonga?
Unique Flower said: Hapana anataka mtu tu akupime Click to expand... Mnataka kujua uwezo wa mtu wa kuonga?
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,774 Reaction score 54,845 Sep 26, 2022 #22 mzabzab said: Hatari mwanawane...acha tuu ndio maana watu wakitumia pesa wanaishia kula na kusepa Click to expand... Ndo kilichobaki kwa hiyo wao wenyewe wamejiweka kama malaya
mzabzab said: Hatari mwanawane...acha tuu ndio maana watu wakitumia pesa wanaishia kula na kusepa Click to expand... Ndo kilichobaki kwa hiyo wao wenyewe wamejiweka kama malaya
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Sep 26, 2022 #23 Itabidi nifanye jambo nami nijitwalie kimwana Jf
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,509 Reaction score 88,675 Sep 26, 2022 #24 Mzee wa kupambania said: Ndo kilichobaki kwa hiyo wao wenyewe wamejiweka kama malaya Click to expand... Ndio ukweli wenyewe
Mzee wa kupambania said: Ndo kilichobaki kwa hiyo wao wenyewe wamejiweka kama malaya Click to expand... Ndio ukweli wenyewe
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,774 Reaction score 54,845 Sep 26, 2022 #25 Unique Flower said: Kwanini usisaidie mtu kwani utapungukiwa nanani?? Click to expand... Shida zenu huwa haziishi. Leo demu anakupa namba leoleo anaanza kukutext shida zake. Mwendo ni huohuo mpaka siku mnaachana unakuwa umeutua mzigo
Unique Flower said: Kwanini usisaidie mtu kwani utapungukiwa nanani?? Click to expand... Shida zenu huwa haziishi. Leo demu anakupa namba leoleo anaanza kukutext shida zake. Mwendo ni huohuo mpaka siku mnaachana unakuwa umeutua mzigo
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,774 Reaction score 54,845 Sep 26, 2022 #26 mzabzab said: Ndio ukweli wenyewe Click to expand... Ndio maana siku hizi kuna wana wamekuja na kautaratibu cha njoo uifuate pesa geto au guest
mzabzab said: Ndio ukweli wenyewe Click to expand... Ndio maana siku hizi kuna wana wamekuja na kautaratibu cha njoo uifuate pesa geto au guest
To yeye JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 19,178 Reaction score 34,351 Sep 26, 2022 #27 Countrywide said: Pole sana Kuna watu wanaume ni wabaya sana, Ila sio wote tupo wema wachache Click to expand... 😳🚴🚴
Countrywide said: Pole sana Kuna watu wanaume ni wabaya sana, Ila sio wote tupo wema wachache Click to expand... 😳🚴🚴
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,215 Reaction score 89,026 Sep 26, 2022 #28 Countrywide said: Pole sana Kuna watu wanaume ni wabaya sana, Ila sio wote tupo wema wachache Click to expand... Wema tupo kweli mkuu.
Countrywide said: Pole sana Kuna watu wanaume ni wabaya sana, Ila sio wote tupo wema wachache Click to expand... Wema tupo kweli mkuu.
To yeye JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 19,178 Reaction score 34,351 Sep 26, 2022 #29 Mzee wa kupambania said: Wengine ni wafanyakazi na wana mishahara yao lakini bado anataka pesa ya mwanamume. Dada zangu mna pepo la kupenda pesa si bure Click to expand... Wengine Tuna mikopo
Mzee wa kupambania said: Wengine ni wafanyakazi na wana mishahara yao lakini bado anataka pesa ya mwanamume. Dada zangu mna pepo la kupenda pesa si bure Click to expand... Wengine Tuna mikopo
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,774 Reaction score 54,845 Sep 26, 2022 #30 Beesmom said: Wengine Tuna mikopo Click to expand... Mikopo ipi tena jamani? Mtatumaliza nyie viumbe hamuishiwagi sababu za kutafuna pesa zetu
Beesmom said: Wengine Tuna mikopo Click to expand... Mikopo ipi tena jamani? Mtatumaliza nyie viumbe hamuishiwagi sababu za kutafuna pesa zetu
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,509 Reaction score 88,675 Sep 26, 2022 #31 Beesmom said: Wengine Tuna mikopo Click to expand... Mikopo ya nini tena jamani
MLEVi Mmoja JF-Expert Member Joined Jun 29, 2019 Posts 8,512 Reaction score 15,094 Sep 26, 2022 #32 Unique Flower said: Nahitaji msaada wahawa watu humu Click to expand... Mmh embu nipe hadithi kuna nini hasa kimetokea
Unique Flower said: Nahitaji msaada wahawa watu humu Click to expand... Mmh embu nipe hadithi kuna nini hasa kimetokea
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,597 Reaction score 60,822 Sep 26, 2022 #33 mmekua omba-omba mno, sawa, siye twawapa ila odometer zenu lazima ziwe busy win-win
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,774 Reaction score 54,845 Sep 26, 2022 #34 mzabzab said: Mikopo ya nini tena jamani Click to expand... Nimechoka aisee hadi mikopo tunailipa kupitia vizinga
mzabzab said: Mikopo ya nini tena jamani Click to expand... Nimechoka aisee hadi mikopo tunailipa kupitia vizinga
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,509 Reaction score 88,675 Sep 26, 2022 #35 Mzee wa kupambania said: Nimechoka aisee hadi mikopo tunailipa kupitia vizinga Click to expand... Alafu ubaya wao wanakuja na gea ya eti nitakopa nitakurudishia....mwee hawarudishi ng'oo
Mzee wa kupambania said: Nimechoka aisee hadi mikopo tunailipa kupitia vizinga Click to expand... Alafu ubaya wao wanakuja na gea ya eti nitakopa nitakurudishia....mwee hawarudishi ng'oo
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,774 Reaction score 54,845 Sep 26, 2022 #36 mzabzab said: Alafu ubaya wao wanakuja na gea ya eti nitakopa nitakurudishia....mwee hawarudishi ng'oo Click to expand... 🤣🤣🤣 ukikompesha pesa mwanamke wewe toa tu kama msaada. Kuna nyuzi humu za wanaume wanalalamika wamewakopesha wapenzi wao kilochowakuta
mzabzab said: Alafu ubaya wao wanakuja na gea ya eti nitakopa nitakurudishia....mwee hawarudishi ng'oo Click to expand... 🤣🤣🤣 ukikompesha pesa mwanamke wewe toa tu kama msaada. Kuna nyuzi humu za wanaume wanalalamika wamewakopesha wapenzi wao kilochowakuta
kowaski JF-Expert Member Joined Apr 21, 2015 Posts 585 Reaction score 551 Sep 26, 2022 #37 mzabzab said: Yaani wanatupiga vibomu mpaka tunaohopa kupata text toka kwa demu...tena akianza tuu na nimekumiss...tayari unajua hapa mzinga unafuata Click to expand... Kuna iyo moja ilikua inaniambia nikikwambia kitu utakubali nijibu basi...
mzabzab said: Yaani wanatupiga vibomu mpaka tunaohopa kupata text toka kwa demu...tena akianza tuu na nimekumiss...tayari unajua hapa mzinga unafuata Click to expand... Kuna iyo moja ilikua inaniambia nikikwambia kitu utakubali nijibu basi...
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,774 Reaction score 54,845 Sep 26, 2022 #38 kowaski said: Kuna iyo moja ilikua inaniambia nikikwambia kitu utakubali nijibu basi... Click to expand... Mtego huo
kowaski said: Kuna iyo moja ilikua inaniambia nikikwambia kitu utakubali nijibu basi... Click to expand... Mtego huo
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Sep 26, 2022 Thread starter #39 MLEVi Mmoja said: Mmh embu nipe hadithi kuna nini hasa kimetokea Click to expand... Mnanivamia mie wakike mwenyewe waje wengine basi nao humu
MLEVi Mmoja said: Mmh embu nipe hadithi kuna nini hasa kimetokea Click to expand... Mnanivamia mie wakike mwenyewe waje wengine basi nao humu
Plan Master JF-Expert Member Joined Jan 1, 2021 Posts 2,188 Reaction score 3,773 Sep 26, 2022 #40 Aisee hao watu mbona wanakuandama hivyo sipendi ukwazike ujue.