Utafiti wa onyesha ccm itashindwa uchaguzi

Utafiti wa onyesha ccm itashindwa uchaguzi

lemaboy

Member
Joined
Sep 15, 2015
Posts
38
Reaction score
5
Kila kitu kina mwisho wake na mwisho wa ccm ndio huu
 

Attachments

  • 1442558892674.jpg
    1442558892674.jpg
    42 KB · Views: 1,507
  • 1442558915568.jpg
    1442558915568.jpg
    75.6 KB · Views: 1,488
Hawana sela wameona cc vijana tunataka mabadiliko wameanza kumtumia nembo yetu eti magufuli for change M4C wameishiwa sela wanaiga za ukawa
 
Raha Ilioje Octoba Pale Uwanja Wataifa,rais Wa Awamu Ya Tano Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Akiwa Anaapishwa Huku Akipigiwa Mizinga 21 Huku Wananchi Wakimshangilia Hon.John P Magufuli Nyote Mnakaribishwa
 
Back
Top Bottom