Siri ya hayo wewe kuwa na hela! ...ni sumu sana!..mengine mbwembwe
Vijana watafute pesa, nyingine hizo ni mbwembwe tu😂
Kwahiyo wakikutana atoe hela zote mfukoni amwonyeshe mkuu si ndio?Siri ya hayo wewe kuwa na hela! ...ni sumu sana!..mengine mbwembwe
Kwahiyo wakikutana atoe hela zote mfukoni amwonyeshe mkuu si ndio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye attention wengi hufanikiwa kutokana nature ya wanaume wengi wa bar kuwa wakware, hapo kinachofuata ni beer za bure na mgegedo, yani inakuwa WIN-WIN situation.Ila hii inaaply pia kwa wanawake!...ukiwa huna hela ke bar unakaa kwa woga woga jicho juu juu..safari za chooni kila mara! Upate attention....! Ukiwa na hela hata kuitwa hovyohovyo hakuna!!...hata ukiaga kwa crew unayokunywa nayo utaruhusiwa fresh tu usepe!
Mwanaume mwenye hela bahati mbya sana anajulikana!..hawajifichi!
Yaani gari nddio kisu cha kuchinjia warembo... Kirahisi u ajilia papuchisuperbug adha hiyo utaipata tu endapo hauna hata ka baby worker cha kukufikisha town
Sent using IPhone X
Weeee! kuna mwanamke mmoja ana tako sio la nchi hii na analiringia balaa yaani ukimwangalia ndo anazidi kulitingisha hata kama mpo wanaume 10 vs yeye peke yake, anapenda sana attention ni mwanamke wa pwani. njoo jaribu mbinu hio uone kama hujamkimbia mwenyewe.Wanawake ni viumbe vinavyopenda Sana kuchunguza Mambo madogomadogo ya watu ikiwemo muonekano.
Mwanamke akikuangalia Sana jua anakuthaminisha kihivi...
Rangi
Urefu
Umbile
Kipato
Nini unamzidi
Kipi anakuzidi
Anakudefine pia who u might be
Sasa tafiti zinaonyesha kwamba mwanamke akikuangalia saaaaana ujue anatafuta thamani yako na udhaifu wako. Vs. Ubora wake na udhaifu wako.
Sasa wataalamu wanasema ukitaka mwanamke akuonee aibu asikuangalie kabisa fwata pattern hii...
1.Mtazame machoni kwanza
2.Kisha mwangalie tako lake.
Ukishafanya hivyo mtazame Tena utaona hakuangali ng'ooooo maana umeshampa mtihani yeye hivyo umempunguzia confidence ya kujiamini atabaki anajiuliza yeye hivi tako langu kalionaje....? Cha ajabu hata Kama tako la mwanamke ni kubwa ukishaliangalia hawajiamini anaona aibu.
Utafiti huu umelenga kuwapa confidence mabaharia wenye muonekano mbaya kwa mademu ili wajiamini.
Superbug.
Sio kwelii.Yaani gari nddio kisu cha kuchinjia warembo... Kirahisi u ajilia papuchi
Hapo kwenye attention wengi hufanikiwa kutokana nature ya wanaume wengi wa bar kuwa wakware, hapo kinachofuata ni beer za bure na mgegedo, yani inakuwa WIN-WIN situation.