Utafiti: Ukitaka mwanamke asikuangalie sana fanya haya...

No comment..

NB

Unavyodhan ndivyo sivyo ila dunia ndivyo ilivyo

Mie nakubaliana na ww....! Kwan mnavyosemaga wake za watu ni chakula ya mabodaboda si ndo haya haya! Home ameacha ndinga boda anakuja mvua kyupi kiwepesiiii!...😣😣😣
 
Acha woga mtoto wa kiume!yaani ufe kwaajili ya corona? Tz hii hii au? Mwanaume unakufa kwa ajali babkubwa ...tena unafia hapohapo road..sio ukalazwe !
Wanawake bora wafie gest🤣🤣 kuliko kaugonjwa kenu kadogooo mnakakuza tu😉😉😉!
Ahahahah..Mkuu umeanza kuvuta bangee siku hiz eeh!!???
 
Mie nakubaliana na ww....! Kwan mnavyosemaga wake za watu ni chakula ya mabodaboda si ndo haya haya! Home ameacha ndinga boda anakuja mvua kyupi kiwepesiiii!...😣😣😣
Inauma ila ndio dawa hiyo no way..sema kwakua hatak kuukubal ukwel ndio mana ananikatalia...
 
Wanawake ni viumbe vinavyopenda Sana kuchunguza Mambo madogomadogo ya watu ikiwemo muonekano.

Mwanamke akikuangalia Sana jua anakuthaminisha kihivi...

Rangi
Urefu
Umbile
Kipato
Nini unamzidi
Kipi anakuzidi
Anakudefine pia who u might be

Sasa tafiti zinaonyesha kwamba mwanamke akikuangalia saaaaana ujue anatafuta thamani yako na udhaifu wako. Vs. Ubora wake na udhaifu wako.

Sasa wataalamu wanasema ukitaka mwanamke akuonee aibu asikuangalie kabisa fwata pattern hii...

1.Mtazame machoni kwanza

2.Kisha mwangalie tako lake.

Ukishafanya hivyo mtazame Tena utaona hakuangali ng'ooooo maana umeshampa mtihani yeye hivyo umempunguzia confidence ya kujiamini atabaki anajiuliza yeye hivi tako langu kalionaje....? Cha ajabu hata Kama tako la mwanamke ni kubwa ukishaliangalia hawajiamini anaona aibu.

Utafiti huu umelenga kuwapa confidence mabaharia wenye muonekano mbaya kwa mademu ili wajiamini.

Superbug.

Kweli kabisa, ila kwangu mwanamke hata kama ana tako zuri ila sura mbaya huwa sina time naye hata akinisalimia huwa naitikia tu na kusepa. Mwanamke akiwa mzuri kisha ananiringia ndipo nami nampa mtihani huo mpaka mwenyewe anajidharau na kutetemeka nikimsemesha. Sibabishwi na wanawake hata siku moja labda aniroge tu.
 
Ila hii inaaply pia kwa wanawake!...ukiwa huna hela ke bar unakaa kwa woga woga jicho juu juu..safari za chooni kila mara! Upate attention....! Ukiwa na hela hata kuitwa hovyohovyo hakuna!!...hata ukiaga kwa crew unayokunywa nayo utaruhusiwa fresh tu usepe!
Mwanamke ambaye Hana hela akiwa bar

Moja huwa bize sana na simu yake

Mbili ang'aza macho Kama anatafuta mtu bar

Chooni kwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu nisiyemfahamu tena mwanaume siwezi kumuangalia zaidi ya dakika moja,wa nini?labda awe hajafunga zipu ama awe na kitu kinachoshangaza

Hahaha, sasa asipofunga zipu ndiyo unamuangalia, unaangalia nini usichokijua!?
 
Mwanamke akikuangalia Sana jua anakuthaminisha kihivi...

Rangi
Urefu
Umbile
Hivi kuyajua hayo mtu anahitaji kukuangalia sana?!
Atakuangalia angalia vp hadi afahamu kipato chako?
Nini unamzidi
Kipi anakuzidi
Hapo sekunde mbili tu zinamtosha kujua pamoja na kwamba wewe ni mwanaume, lakini unamzid tako, na yeye anakuzidi nywele!
Anakudefine pia who u might be
Labda kama huna hela na kwahiyo mchafu mchafu, hapo ndo lazima aku-define "you might be just a thief" au teja flani hivi.
 
Back
Top Bottom