Utafiti:Makonda Ndie Kiongozi pekee anaependwa na masikini

Mti majungu

Member
May 19, 2015
56
79
. Kwa sasa hapa nchini kiongozi anaependwa na wananchi wa kipato cha chini ni Rc Paul Makonda Christian Kutokana na uthubutu wake dhidi ya kupinga hadharani mambo maovu yanayokusudiwa kufanywa na mabepari dhidi ya wananchi

.....Hivyo makonda amekuwa mstari wa mbele kupinga kwa vitendo dhuluma hizo ......Makonda amekuwa kiongozi pekee anaefanya kazi zake kwa vitendo kuliko viongozi wengi hapa nchini iwe wa ccm au upinzani

....makonda ni future ya Tanzania yetu ni wajibu wa kila mpenda MAENDELEO yasiyo na kelele za wanahabari,,,makonda ni njia mpya kwa MAENDELEO ya taifa letu

Makonda Christian Ni kijana anaetakiwa kulindwa,kutunzwa na kuthaminiwa ili kuliokoa taifa kutoka kwa makanjanja wenye uchu wa mkali wa kuwaibia watanzania
 
Vita ya madawa ya kulevya huwa haimuachi mtu salama,ila vita ya jina na vyeti feki humuacha mtu salama salimini,acha ujinga mwambie aweke vyeti
 
Kama ndie Mange kasema hivyo basi sawa.!

Ila kama ni maoni yako pia sawa...maana katiba inaruhusu kumsifia yeyote
 
Video iko wazi pia fatilia maeneo yote anayopita makonda wananchi zaidi ya elfu 18 hutaka kupiga picha nae
 
Hii topic ni kuchoshana na saumu hizi. Ngoja nitafute masuala yenye tija.

Bashite watajuana na baba yake
 
Hii topic ni kuchoshana na saumu hizi. Ngoja nitafute masuala yenye tija.

Bashite watajuana na baba yake
Utafiti unaonesha zaidi ya wananchi Million 14.7 wanatamani kumwona face to face RC Paul Christian Kaka nadhani ungeitazama iyo clip vema....Mimi nilikua miongoni mwa wananchi hao
 
Sis wa mikoan huku hatuuon umuhim wake maybe watu wa bongo
Utafiti unaonesha zaidi ya wananchi Million 14.7 wanatamani kumwona face to face RC Paul Christian Kaka nadhani ungeitazama iyo clip vema....Mimi nilikua miongoni mwa wananchi hao
 
Unajitahidi Kuondoa harufu ya Kinyesi

Chooni
Kwa mgojo wa mlevi Hongera
Utafiti unaonesha zaidi ya wananchi Million 14.7 wanatamani kumwona face to face RC Paul Christian Kaka nadhani ungeitazama iyo clip vema....Mimi nilikua miongoni mwa wananchi hao
 
Back
Top Bottom