Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 720
Salaam ndg wajumbe, wakubwa kwa wadogo!
Mahakimu wengi hapa nchini wa mahakama 'nzito' na zile za mikoani,huishi kwa hofu na woga mkubwa sana mioyoni mwao, tofauti na kada kama maaskari, waalimu, madaktari, mahandisi, vinyozi na bodaboda.Imefahamika.
Maeneo kama Clubs, Bars, vijiweni, uchochoroni, kwenye sinema au tu mijini katikati,hawapendeleagi hawa watu.Hawaonekani kabisa hata kwenye jumuiya, makanisani!
Wanapendelea sana kuishi maisha ya pembe tatu (triangle) yaani KAZINI -> NYUMBANI -> BENKI. Hata raha ya elimu zao hawaioni.
Hawa ndugu zetu huishi kwa kunyata sana. Hawajiamini mtaani.
Huwa wanaogopa nn kujichanganya mtaani kama kada zingine? Kwani kuna shida? Mbona amani tu street.