UTAFITI: "Kuchimba dawa",ugonjwa wa kuambukizana ghafla

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
1,000
"Jamani abiria tunasimama hapa dakika 5 kwa ajili ya kuchimba dawa", inasikika sauti ya konda wa basi.

Hata kama huna mkojo, utashuka tu ukatoa hata matone mawili (drops) za vimkojo.

Tena ukiwa kwenye basi halafu ukachungulia nje kichakani na kuona mtu kainama au mwanaume kajipinda, mkojo hujaa haraka na kukubana kiasi cha kushuka chini haraka haraka kama umebanwa vile.

Wataalamu wanasema, kuchimba dawa maporini huwa n kwa kuambukizana sana, utake usitake utatoka tu hata km utatoa vitone viwili.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom