Utafiti:ktk Afrika Mashariki,nchi ya Burundi ndio pekee ambayo askari wake hawazingatii ubebaji salama wa silaha,angalia picha chini...

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Inashauriwa hata ukiwa ndani ya nyumba na unatumia kisu pale utakapotaka kutoka sehemu moja kwenda nyingine labda jikoni to sebuleni basi kibebe kisu kwa kukining'ing'iza badala ya kukielekeza kwa mbele sababu anaweza tokea mtoto anacheza akikimbia kuelekea upande wako labda kuna kona mkavaana au hata mtu mzima

Wamasai wapo makini sana ktk uwekaji wa visu na ubebaji,ni mfano wa kuigwa

Hivyo hivyo ktk silaha za moto ukibeba kwa kumuelekezea mtu inaweza kulipuka kwa gafla

idhaa ya Kiswahili ya BBC iliwahi kuwaonyesha askari wa Burundi waliotumwa kuzima uasi mjini Bunjura wakiwa ktk mistari wakielekea Bunjumbura kufurusha waasi ila ubebaji wao silaha ulikuwa kimakosa kwani zilikuwa mgongoni ila zilielekezwa kwa watu na sio juu au chini

instagram:kaukwaju
 

Attachments

  • IMG_20180827_072820_552.jpg
    IMG_20180827_072820_552.jpg
    16.4 KB · Views: 87
  • 20150826_170857.jpg
    20150826_170857.jpg
    12.9 KB · Views: 64
Back
Top Bottom