Utafiti 1990: Watanzania ni wavivu

Unataka wabadili mfumo wa elimu Ili ccm Ife? Kwani wao wajinga?
Sasa hutuambii kwa namna gani elimu ya sasa inaisaidia CCM kuwa madarakani, na ni mabadiliko gani ktk elimu yatakayo saidia kutoka tulipo. nijuavyo mimi ukiondoka URAIS/CIVICS masomo mengine yote ni standard ya ki dunia, principals na formula ni zile zile. Labda mfumo wa ufundishaji vyuoni. course work 40% huku 60% ikiwa ni final exams. wenzetu km KOREA, USA na nk, course work ni 60%-80% final exam 20%-30%.
 
Ukilaza hauna chama, hata CDM wameshindwa kutumia science kuiondoa CCM madarakani.
 
Ukilaza hauna chama, hata CDM wameshindwa kutumia science kuiondoa CCM madarakani.
Mbona hata wewe umeshindwa kuiondoa,
Huyo mtafiti huwa anahudimia familia za watanzania Hadi aseme wavivu?
 
Uvivu uliletwa na Nyerere na Ujamaa wake. Mashirika ya umma watu walilipwa hata kama hawafanyi kazi kwa bidii. Kwa sababu hayo mashirika yanabebwa na serikali hata kama yanafanya kazi kwa hasara.
 
Uvivu uliletwa na Nyerere na Ujamaa wake. Mashirika ya umma watu walilipwa hata kama hawafanyi kazi kwa bidii. Kwa sababu hayo mashirika yanabebwa na serikali hata kama yanafanya kazi kwa hasara.
wajamaa asilia china na korea mbona ni wachaoa kazi?
 
wajamaa asilia china na korea mbona ni wachaoa kazi?
Wachina waliacha ujamaa siku nyingi kwa sababu ulifeli kule pia. Cultural revolution ya Mao Zedong iliacha China masikini sana na mamilioni walikufa. Korea kaskazini watu wanakufa njaa hawana uchapa kazi wa aina yoyote.
 
Mfumo wetu wa elimu hauna tija kwa muhitimu unamfanya tu asiruke stage ya ukuaji,haumsaidii mwanafunzi kuwa critical thinking kumudu kutatua changamoto zinazomzunguka,zaidi ya kumfanya awe mkariri mzuri,thus ukiwa na uwezo mzuri wa kukariri ni rahisi kupata A kwenye masomo..
Kiufupi ni mfumo unaomfanya mwanafunzi kuendelea kuwa mjinga thus sio ajabu kukuta mhitimu anaacha raslimali tele zilizojaa kijijini kwake anakimbilia mjini kuuza machinga au kuendesha bodaboda,hali wenzetu weupe sababu ya elimu bora anarudi kulekule kijijini penye raslimali zilizokimbiwa na mhitimu wetu anazigeuza fursa anapata pesa anakuwa tajiri nchini yake inakuwa tajiri pia.
Sasa ccm inatoa elimu duni haitaki kubadili mitalaa ya critical thinking Ili vijana wajinasue waone fursa maana wanaamini huwezi mtawala mwenye shibe.Pia utumia kodi kama njia ya kuwafanya watz wasiinuku wazidi kuwa masikini kwa kuwezesha wachache ndio wamudu kununua bidhaa muhimu mfano magari,ujenzi,nk.
Watz ni masikini sio kwa sababu hawana pesa au mitaji bali wamenyimwa elimu,maana ya umasikini ni upeo Mdogo wa kuona fursa zinazowazunguka.Mfano sekta ya madini na kilimo hizi mbili tu zinaweza ajili vijana wote nchini plus na wengine toka nchi jirani na still zikapelea.Shida ni elimu,asiye na maarifa ni mjinga ni rahisi kumtawala.Thus wajinga wanayo nguvu ya kuiweka ccm madarakani.
 
Mnooo
 
Mtanzania akiwa na hivi vifuatavyo basi,kalidhika kula kusimpige chenga,pahala pakulala,tuhela twa hapa na pale ndio maana wengi wetu huwaza nyumba na gari ndio mafanikio
 
Kwako mafanikio Ni Nini?
Mafanikio ni kutimiza kipawa kama ulicho nacho wewe unaetaka kunichimbua ila nimekuasoma, na kutoa msaada kwa wengine kama ajira,nyumba na gari ni vipawa vya wenzio miaka hiyo mwiaaa iliyopita mimi kujenga na kununua gari ni ajira ya mafanikio ya haoooo wenzetu,timiza kwanza kipawa chako ndipo ujenge na kununua gari sio unazaliwa miaka 60 yote ya kuishi ww unapambana kujenga na kununua gari wakati umesahau haijatimiza vipawa vyako nimemaliza
Oya broo mi sijui maana ya mafanikio muulize ontorio au kidukulilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…