Utafanyaje hilo kete liingie na liingie wapi?

Tundu la kati chini, nitakachofanya ni kugongesha mpira wa njano ukutani kisha mpira unarudi kwa V hadi shimo la kati
 
Tundu la kati chini, nitakachofanya ni kugongesha mpira wa njano ukutani kisha mpira unarudi kwa V hadi shimo la kati
kwanini hayo yote mkuu si ucheze kiwango tu
 
kwanini hayo yote mkuu si ucheze kiwango tu
Kiwango inakuwa fuluki kwa hapo uuondoe mpira wa kijani kwa kugongesha na wa njano ndio uingize shimo la chini kulia.

Nionyeshe kiwango mkuu wewe hapo utaingiza tundu lipi?
 
Huu mchezo naupenda kuutizama hasa wakicheza wadada waliovaa vimini,wanapoinama na kucheza kiwango mie hooooi...
 
napiga 'cut' ya nguvu halafu naingiza shimo la kati hapo karibia na 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…