Utadhani Chenyewe

Mi nasubiria viwanda ndio nitoe "makaratasi" yanyu mchagoni, right now acheni tu niendelee kufuga bata wng!
 
Kinana ushwaharibu swisswism kwa ule uigizaji wako wa ukimkuta mtu anakimbia nawe unakimbia..
Ukiwakuta wakulima nawe unaigiza wa kulima..
Ukiwakuta mafundi ujenzi nawe unaigiza kujenga..n.k..n.k.
Comedy yako Kinana wenzako nao wameiga na kuwa too much vichekesho kama huyu naibu waziri ujenzi na suti yaani imefika mahala Viongozi wa swisswism wamejivua ufahamu kabisaa.
Ila hakika Mungu atawalipa kwa kuigiza maisha ya Watz.wanao shindwa kupata hata mlo mmoja kwa siku na kusumbuliwa na maswahiba ya ujinga,umasikini,maradhi,ufisadi ...n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…