WAKUU wa itifaki laddies
and gentlemen....sana sana laddies.katika hawa watatu utapenda kutoka na
yupi katika scenario hizi 1.hb,smart yani good looking,kipato
kizuri,kila ukipita nae unachukua misifa kwa mashostito wezako,tatizo
lake kicheche yani play boy dakika mbili ukimpa kaaribu.
2.old man au kijana wa kawaida tu,ana pesa za kutimiza matatizo
yako hazikosekani,mtulivu na very caring guy,tatizo kwenye game za usiku
hajiwezi moja tu mpaka kesho tena usiku yani hakupandishi wala
hakushushi kilimanjaroo
3.jamaa wa tatu sura chachu,ngumu,mbaya,hajui kuvya yani anavya
kawaida sana,hana mvuto hata kidogo,hata ukitembea nae rafiki zako
wanaisi mayb bodyguard wako,hana pesa ila he now how to love,caring na
nimuaminifu kwako kwa kila jambo na msikivu.
je wadadaa ungemchangua yupi kati ya hao.