U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 4,252 Reaction score 9,307 Feb 25, 2023 #1 Wadau hamjamboni nyote? Nimekuja na utabiri kuhusu mechi ya kesho huko Uganda kati ya Vipers dhidi ya Simba Simba 0 Vipers 3 Usipoteze muda kubisha usije ukaumbuka Kilitabiriwa ni cha uhakika na siyo utani Ucku mwema
Wadau hamjamboni nyote? Nimekuja na utabiri kuhusu mechi ya kesho huko Uganda kati ya Vipers dhidi ya Simba Simba 0 Vipers 3 Usipoteze muda kubisha usije ukaumbuka Kilitabiriwa ni cha uhakika na siyo utani Ucku mwema
Mwanabalagha Senior Member Joined Nov 11, 2015 Posts 196 Reaction score 236 Feb 25, 2023 #2 Sawa mtabiri tambi tambi