Utabiri wangu, ACT Wazalendo kuwa chama kikuu cha upinzani bungeni , CHADEMA kukosa kiti bungeni

Hizi rasharasha za mgombea wa CHADEMA zilizojaa pumba, kama ndo mlengo Wa kampeni zake anawaharibia hata walio na nafuu majimboni mwao.

Kwanza anapashwa kuelewa WaTz aliowaacha miaka mitatu iliyopita wamebadilika sana na uelewa ni mkubwa kuliko awali asijidang'anye.
Mfano kaya yoyote inapotaka kujikomboa katika tatizo mfano kujenga Nyumba matumizi ya visivyo vya lazima hupunguzwa ili kufikia lengo.

Asione aibu kuwaambia hao waliomtuma kwamba amefika nyumbani kuilaani nchi lakini nilipofika akakuta baada ya kulaani anapashwa kuibariki.
Akiona hapa hapamfai arudi huko hatujazoea unafiki.
Huko nyuma anakasema Rais mzembe Nchi inaibiwa, leo wizi umedhibitiwa mara ooh anakimbiza wawekezaji, tutawekeza wenyewe na tutajenga wenyewe, Tanzania ni yetu wenyewe.
sawa mjukuu wa shehe Yahaya, tumekusikia!
 
Back
Top Bottom