Utabiri wangu, ACT Wazalendo kuwa chama kikuu cha upinzani bungeni , CHADEMA kukosa kiti bungeni

Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
782
523
Hizi rasharasha za mgombea wa CHADEMA zilizojaa pumba, kama ndo mlengo Wa kampeni zake anawaharibia hata walio na nafuu majimboni mwao.

Kwanza anapashwa kuelewa WaTz aliowaacha miaka mitatu iliyopita wamebadilika sana na uelewa ni mkubwa kuliko awali asijidang'anye.
Mfano kaya yoyote inapotaka kujikomboa katika tatizo mfano kujenga Nyumba matumizi ya visivyo vya lazima hupunguzwa ili kufikia lengo.

Asione aibu kuwaambia hao waliomtuma kwamba amefika nyumbani kuilaani nchi lakini nilipofika akakuta baada ya kulaani anapashwa kuibariki.
Akiona hapa hapamfai arudi huko hatujazoea unafiki.
Huko nyuma anakasema Rais mzembe Nchi inaibiwa, leo wizi umedhibitiwa mara ooh anakimbiza wawekezaji, tutawekeza wenyewe na tutajenga wenyewe, Tanzania ni yetu wenyewe.
 
Mwaka huu lazima muumwe mataya kisa kuisema vibaya na kuiombea mabaya lkn hiyo siyo dawa.

Tulieni dawa iwaingie vyema maungoni na mshuhudie mh Lissu akiapishwa kuwa rais wa sita wa Tanzania.
 
Ni kule Zanzibar tu, huku Bara bado kuna mlima wa kupanda. Mzee Membe na Zito wamejishika kenye mbawa za Maalim.
 
Hizi rasharasha za mgombea Wa CHADEMA zilizojaa pumba, kama ndo mlengo Wa kampeni zake anawaharibia hata waliokuwa na nafuu majimboni kwao, wasipomsaidia kujipanga vizuri ataambulia kashifa zake.

Kwanza anapashwa kuelewa WaTz aliowaacha miaka mitatu iliyopita wamebadilika sana na uewa in mkubwa kuliko awali asijidang'anye.
Hata kaya yoyote inapotaka kujikomboa katika tatizo mfano kujenga Nyumba matumizi ya visivyo muhimu hupunguzwa ili kufikia lengo.

Adione aibu kuwambia hao waliomtuma kwamba nimefika nyumbani kuilaani nchi yangu lakini nilipofika nikajikuta baada ya kulaani nabariki. Akiona hapa hapamfai arudi huko hatujazoea unafiki. Huko nyuma anakasema Raid mzenchi inaibiwa, Leo wizi umezibitiwa Mara ooh anakimbiza wawezeshaji, tutawekeza wenyewe na tutajenga wenyewe
Wamemchagua mtu ambaye siyo Presidential material,hata wenyewe wanajua lissu siyo Presidential material.

Miaka yote walikua wanamuona na wakajiaminisha kua hafai ndo Mana hawakuwahi kumfikiria ktk hiyo position zaid ya ubunge aende bungeni kubishana tu.

Wacha amalize kubwabwaja,Wananchi tuendelee na chumaaa
 
Asante san a tumekuelewa, elekea lumumba kwa chakubanga ukachukue buku saba zako
 
Lissu ananiacha hoi,anakwambia Kuna CORONA then anachanganyikana na kukumbatiana bila tahadhari.

Nafikir anaifanyia kazi kauli ya Rais kimatendo,huku akipretend ili kuwaradhisha mabwanyenye zake walomtuma.
 
Asante san a tumekuelewa, elekea lumumba kwa chakubanga ukachukue buku saba zako
Unajua tunawasaidia msije mkaaibika, na Bakuli mlilotembeza huko nje, mtapata aibu ya kuwatosha maana michango mliyokuwa mnamkatia MKT itatoka wapi? mtaukumbuka ushauri huu.
 
Nyarandu alikuwa chaguo sahihi basi tu labda nifanye "reciprocal" kwa kuwa mazwazwa mmejanana kuko mmechagua koroma badala ya nazi, sikio la kufa halisikii dawa, lakini kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi.
 
Mataga mtahangaika Sana msimu huu,Lissu kawashika pabaya! Mambo ni tofauti na matarajio yenu 😁😁
 
Hizi rasharasha za mgombea Wa CHADEMA zilizojaa pumba, kama ndo mlengo Wa kampeni zake anawaharibia hata waliokuwa na nafuu majimboni kwao, wasipomsaidia kujipanga vizuri ataambulia kashifa zake.

Kwanza anapashwa kuelewa WaTz aliowaacha miaka mitatu iliyopita wamebadilika sana na uewa in mkubwa kuliko awali asijidang'anye.
Hata kaya yoyote inapotaka kujikomboa katika tatizo mfano kujenga Nyumba matumizi ya visivyo muhimu hupunguzwa ili kufikia lengo.

Adione aibu kuwambia hao waliomtuma kwamba nimefika nyumbani kuilaani nchi yangu lakini nilipofika nikajikuta baada ya kulaani nabariki. Akiona hapa hapamfai arudi huko hatujazoea unafiki.

Huko nyuma anakasema Raid mzenchi inaibiwa, Leo wizi umezibitiwa Mara ooh anakimbiza wawezeshaji, tutawekeza wenyewe na tutajenga wenyewe
Yaani Lissu kawasababishia tumbo la kuhara!
 
Wamemchagua mtu ambaye siyo Presidential material,hata wenyewe wanajua lissu siyo Presidential material.

Miaka yote walikua wanamuona na wakajiaminisha kua hafai ndo Mana hawakuwahi kumfikiria ktk hiyo position zaid ya ubunge aende bungeni kubishana tu.

Wacha amalize kubwabwaja,Wananchi tuendelee na chumaaa
Sasa huyu mchunga ng'ombe wenu wa chato ndie presidential material? Mtu an PHD lkn hawezi kuongea hata sentensi moja ya kiingereza?
Mnachekeshaa!
 
Kwa ufinyu wako Wa fikra unaona kuongea kingereza ndio uwezo ngoja nikuhifadhi nilitaka niseme we fala sana lakini kukuita hivyo ni sifa nitakuwa nimekukweza.
 
Hizi rasharasha za mgombea Wa CHADEMA zilizojaa pumba, kama ndo mlengo Wa kampeni zake anawaharibia hata waliokuwa na nafuu majimboni kwao, wasipomsaidia kujipanga vizuri ataambulia kashifa zake.

Kwanza anapashwa kuelewa WaTz aliowaacha miaka mitatu iliyopita wamebadilika sana na uewa in mkubwa kuliko awali asijidang'anye.
Hata kaya yoyote inapotaka kujikomboa katika tatizo mfano kujenga Nyumba matumizi ya visivyo muhimu hupunguzwa ili kufikia lengo.

Adione aibu kuwambia hao waliomtuma kwamba nimefika nyumbani kuilaani nchi yangu lakini nilipofika nikajikuta baada ya kulaani nabariki. Akiona hapa hapamfai arudi huko hatujazoea unafiki.

Huko nyuma anakasema Raid mzenchi inaibiwa, Leo wizi umezibitiwa Mara ooh anakimbiza wawezeshaji, tutawekeza wenyewe na tutajenga wenyewe
Ulichokiandika unakielewa kweli hata ukirudia kusoma mara 100!?
Mnatutia kinyaa na miandiko yenu jamani.
 
Mwaka huu lazima muumwe mataya kisa kuisema vibaya na kuiombea mabaya lkn hiyo siyo dawa.

Tulieni dawa iwaingie vyema maungoni na mshuhudie mh Lissu akiapishwa kuwa rais wa sita wa Tanzania.

Yap! ACT watapata wabunge kama wote tu huko visiwani; huku bara si rahisi sana lakini wataongeza viti bungeni!
 
Hizi rasharasha za mgombea Wa CHADEMA zilizojaa pumba, kama ndo mlengo Wa kampeni zake anawaharibia hata waliokuwa na nafuu majimboni kwao, wasipomsaidia kujipanga vizuri ataambulia kashifa zake.

Kwanza anapashwa kuelewa WaTz aliowaacha miaka mitatu iliyopita wamebadilika sana na uewa in mkubwa kuliko awali asijidang'anye.
Hata kaya yoyote inapotaka kujikomboa katika tatizo mfano kujenga Nyumba matumizi ya visivyo muhimu hupunguzwa ili kufikia lengo.

Adione aibu kuwambia hao waliomtuma kwamba nimefika nyumbani kuilaani nchi yangu lakini nilipofika nikajikuta baada ya kulaani nabariki. Akiona hapa hapamfai arudi huko hatujazoea unafiki.

Huko nyuma anakasema Raid mzenchi inaibiwa, Leo wizi umezibitiwa Mara ooh anakimbiza wawezeshaji, tutawekeza wenyewe na tutajenga wenyewe
Historia inaenda kuandikwa Tanzania mwaka huu kama ilivyoandikwa Malawi. CCM kinaenda kuwa Chama cha upinzani. Amini nakwambia
 
Kwa ufinyu wako Wa fikra unaona kuongea kingereza ndio uwezo ngoja nikuhifadhi nilitaka niseme we fala sana lakini kukuita hivyo ni sifa nitakuwa nimekukweza.
Hehehe! Yaani unamtetea Magufuli kushindwa kuongea kiingereza hata sentensi moja wakati kasoma shule kwa lugha hiyo hadi kupata PhD?

Ulofa ni kipaji
 
Back
Top Bottom