U uliposifiki 99 Member Joined Nov 14, 2011 Posts 36 Reaction score 1 Dec 27, 2011 #1 hatimae ile mvua iliyotabiriwa na TMA(mamlaka ya hali ya hewa Tanzania) yaanza kunyesha kidogo kidogo maeneo ya Gongolamboto na Mbezi hvyo wale ndugu walioamua kurudi maeneo ya Jangwani wametakiwa kuondoka haraka,... Source East Africa Radio
hatimae ile mvua iliyotabiriwa na TMA(mamlaka ya hali ya hewa Tanzania) yaanza kunyesha kidogo kidogo maeneo ya Gongolamboto na Mbezi hvyo wale ndugu walioamua kurudi maeneo ya Jangwani wametakiwa kuondoka haraka,... Source East Africa Radio