Utabiri wa leo: Simba 0-2 power Dynamo

Utabiri wa leo: Simba 0-2 power Dynamo

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,854
Reaction score
32,657
Uchambuzi wangu

Mpira wa Leo utakuwa ni mgumu sana Katika baadhi ya mechi walizowahi kukutana nazo coz pressure itakuwa juu zaidi Kwa kolo since ndiyo timu itakayoangaliwa zaidi

Facts
Power Dynamo watakuja kucheza Kwa kujilipua coz hawana Cha kupoteza mbele ya kolo ......so kitendo Cha kujilipua Kwa kushambulia kama nyuki ...... power Dynamo wataambulia goli 2. Since defense ya kolo + goalkeeping is very poor....huku Makolo wakitoka 0 ..... kutokana na kucheza Kwa pressure kubwa .....

Hivyo basi
Kwaherin maKolo .. ahsanteni Kwa kushiriki.... Tukutane champions mwaka ujao
1682796331689.jpg
 
Uchambuzi wangu

Mpira wa Leo utakuwa ni mgumu sana Katika baadhi ya mechi walizowahi kukutana nazo .....coz pressure itakuwa juu zaidi Kwa kolo ......since ndiyo timu itakayoangaliwa zaidi

Facts
Power Dynamo watakuja kucheza Kwa kujilipua coz hawana Cha kupoteza mbele ya kolo ......so kitendo Cha kujilipua Kwa kushambulia kama nyuki ...... power Dynamo wataambulia goli 2 .since defense ya kolo + goalkeeping is very poor....huku Makolo wakitoka 0 ..... kutokana na kucheza Kwa pressure kubwa .....

Hivyo basi
Kwaherin maKolo .. ahsanteni Kwa kushiriki .... Tukutane champions mwaka ujaoView attachment 2768221
Naunga mkono hoja
 
Uchambuzi wangu

Mpira wa Leo utakuwa ni mgumu sana Katika baadhi ya mechi walizowahi kukutana nazo coz pressure itakuwa juu zaidi Kwa kolo since ndiyo timu itakayoangaliwa zaidi

Facts
Power Dynamo watakuja kucheza Kwa kujilipua coz hawana Cha kupoteza mbele ya kolo ......so kitendo Cha kujilipua Kwa kushambulia kama nyuki ...... power Dynamo wataambulia goli 2. Since defense ya kolo + goalkeeping is very poor....huku Makolo wakitoka 0 ..... kutokana na kucheza Kwa pressure kubwa .....

Hivyo basi
Kwaherin maKolo .. ahsanteni Kwa kushiriki.... Tukutane champions mwaka ujaoView attachment 2768221
Hayo magoli yaweke vice versa. Trust me Utanishukuru baadae.
 
Uchambuzi wangu

Mpira wa Leo utakuwa ni mgumu sana Katika baadhi ya mechi walizowahi kukutana nazo coz pressure itakuwa juu zaidi Kwa kolo since ndiyo timu itakayoangaliwa zaidi

Facts
Power Dynamo watakuja kucheza Kwa kujilipua coz hawana Cha kupoteza mbele ya kolo ......so kitendo Cha kujilipua Kwa kushambulia kama nyuki ...... power Dynamo wataambulia goli 2. Since defense ya kolo + goalkeeping is very poor....huku Makolo wakitoka 0 ..... kutokana na kucheza Kwa pressure kubwa .....

Hivyo basi
Kwaherin maKolo .. ahsanteni Kwa kushiriki.... Tukutane champions mwaka ujaoView attachment 2768221
Ni wivu tu Ni wivu tu (Kwa sauti ya Gwajiboy)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom