CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Watu kama wewe ndio nimewalenga. hao ni nguli wa sheria sio pao hapa!UNGEIWEKA KWA KISWAHILI TENA CHA MTAANI KWETU TANDALE AU SINZA C TUNGEKUELEWA VIZURI NA KUCHANGIA.... KWA SASA INAKUBIDI UWASUBIRIE WAFUATAO WAJE KUCHANGIA
1- NIMROD MKONO
2- RIZ ONE KIKWETE
3- MABERE MARANDO
4- MASUMBUKO LAMWAI
5- PETER KIBATRALA
6- ISSA SHIVJI
7- MWAKYEMBE HARISON
.......
MIE "PANGU PAKAVU TIA MCHUZI" NA MWENZANGU "CHAUKUJA NISIJEZIMA" HII NGOMA HATUIWEZIIII.
UNGENILENGA MIE NA WENZANGU NILIOWATAJA...UNGETUMIA LUGHA TUNAYOIELEWA...HIYO LUGHA YA WAPANDA NDEGE ZA WAZUNGU SIE WAPANDA UNGO HATUIWEZIII....UKISHINDWA KABISAAAA...TUMIA KISWAHILI AU HATA KIZARAMO SIE WA MSANGA TUKUELEWE.Watu kama wewe ndio nimewalenga. hao ni nguli wa sheria sio pao hapa!
Inabidi kutumike, just wait utaona kama uamuzi utatoka! Ngoja nione umahili wa Judge!Hicho kifungu kimetumika katika hilo shauri????
SijakuelewaWatanzania wamekariri kila kesi lazima kushinda hakuna kushindwa that is a problem
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]UNGEIWEKA KWA KISWAHILI TENA CHA MTAANI KWETU TANDALE AU SINZA C TUNGEKUELEWA VIZURI NA KUCHANGIA.... KWA SASA INAKUBIDI UWASUBIRIE WAFUATAO WAJE KUCHANGIA
1- NIMROD MKONO
2- RIZ ONE KIKWETE
3- MABERE MARANDO
4- MASUMBUKO LAMWAI
5- PETER KIBATRALA
6- ISSA SHIVJI
7- MWAKYEMBE HARISON
.......
MIE "PANGU PAKAVU TIA MCHUZI" NA MWENZANGU "CHAUKUJA NISIJEZIMA" HII NGOMA HATUIWEZIIII.
No, nadhani hukumu ya Resident magistrate kuhusu charge ya MONEY LAUNDERING is conclusive and final as it determines the authenticity of the charge against MONEY LAUNDERING, AND THEREFORE IS APPEALABLE! Nadhani hivyo?????????????????????????????????????????????Ngoja nijikongoje na u Lawyer wangu. case ya msingi ndio Money Laundering zingine hazina uzito. otherwise Hakuna case ndio maana serikali imekata rufaa.
Mkuu kwa hiyo utabiri wako ni upi hapoTujiulize swali hili: was the decision of the Resident Magistrate an interlocutory decision in terms of Section 5(2)(d) of the Appellate Jurisdiction Act, 1979 and therefore not subject to appeal? Angalia section 5(2)(d) hiyo inasemaje:
"(2) Notwithstanding the provision of
Subsection (1) -
(d) no appeal or application for revision shall lie against or be made in respect of any preliminary or interlocutory decision or order of the High Court unless such decision or order has the effect of finally determining the criminal charge or suit".
NOTE: TUNAKATAZWA KUINGILIA UHURU WA MAHAKAMA, LAKINI SASA HIVI HUKUMU IMESHAANDIKWA, HAKUNA KITAKACHOINGILIWA MIMI NAFANYA UTABIRI TU.- UTETEZI ??????????????????????? BUSH LAWYERS MNASEMAJE JUST FOR FUN ANYWAY!
TULIA AKSONUNGEIWEKA KWA KISWAHILI TENA CHA MTAANI KWETU TANDALE AU SINZA C TUNGEKUELEWA VIZURI NA KUCHANGIA.... KWA SASA INAKUBIDI UWASUBIRIE WAFUATAO WAJE KUCHANGIA
1- NIMROD MKONO
2- RIZ ONE KIKWETE
3- MABERE MARANDO
4- MASUMBUKO LAMWAI
5- PETER KIBATRALA
6- ISSA SHIVJI
7- MWAKYEMBE HARISON
.......
MIE "PANGU PAKAVU TIA MCHUZI" NA MWENZANGU "CHAUKUJA NISIJEZIMA" HII NGOMA HATUIWEZIIII.
Sasa hicho kifungu cha Appelate Jurisdiction Act kinahusika kivipi katika kesi hii? Kasome vizuri hiyo sheria ujue inaaply wapi, siyo kukurupuka tuTujiulize swali hili: was the decision of the Resident Magistrate an interlocutory decision in terms of Section 5(2)(d) of the Appellate Jurisdiction Act, 1979 and therefore not subject to appeal? Angalia section 5(2)(d) hiyo inasemaje:
"(2) Notwithstanding the provision of
Subsection (1) -
(d) no appeal or application for revision shall lie against or be made in respect of any preliminary or interlocutory decision or order of the High Court unless such decision or order has the effect of finally determining the criminal charge or suit".
NOTE: TUNAKATAZWA KUINGILIA UHURU WA MAHAKAMA, LAKINI SASA HIVI HUKUMU IMESHAANDIKWA, HAKUNA KITAKACHOINGILIWA MIMI NAFANYA UTABIRI TU.- UTETEZI ??????????????????????? BUSH LAWYERS MNASEMAJE JUST FOR FUN ANYWAY!
Kwa heri wewe hujui kitu!Sasa hicho kifungu cha Appelate Jurisdiction Act kinahusika kivipi katika kesi hii? Kasome vizuri hiyo sheria ujue inaaply wapi, siyo kukurupuka tu
Serikali itashinda shauri lao leo mbele ya Jaji! Natabiri hivyoMkuu kwa hiyo utabiri wako ni upi hapo
Unanifahamu? Do not speculate until you spectate!hyo ni copy n paste mkuu so sidhan km anauwezo wa kuieka ktk lugha ya taifa!..yawezekana ww ukawa umeielewa kuliko yey!
mmmmh!!!!! haya banaSijakuelewa