Thabit Madai
Member
- Oct 8, 2024
- 54
- 144
Kuandika gazeti kama hili ndo kuumia kwenyewe.Sidhani kuna mwanayanga ameumia kufungwa na Azam leo sababu tulikuwa pungufu na pia Azam si mpinzani wetu sisi uto raha yetu ni kumchinja mnyama tu basi...
Nikweli kabisa hata simba nae alieliwa kimoja nae anafadhiliwa na gsmNa hizo mechi walizoshinda;
1. Wapinzani walipunguzwa kwa Kadi nyekundu.
2. Magoli ya Wapinzani yamekataliwa waz wazi mf. Mechi na Kengold.
3. Wachezaji wa Yanga wamecheza madhambi ya Penati au kushika mpira kwenye 18 pasipo kuadhibiwa.
4. Marefa wamefanya makosa ya kibinadamu isivyo kawaida.
5. Wamecheza na Timu za Jiesimu kama zote. Kwa kifupi hao Watopolo kwa sasa wana Timu imara mnoooo wanaongoza ligi na watachukua mapema mnoo tuendelee kuimba mapambio.
Ni mawazo yako Mkuu, my comment ni direct kwa wachezaji wetu uto na sio kuja kwenu makolo, we just talk as family we unazamia sherehe ambayo hujaalikwa unaweka pilau kwenye shati ukale home baadae!Kuandika gazeti kama hili ndo kuumia kwenyewe.
...Kuna siku mkongwe @edokumwembe alisema Yanga wako karibu zaidi kupoteza mchezo au kutoa sare kuliko kushinda watu hawakumuelewa...
Kuna Wachambuzi pale Wasafi Fm walitanabaisha ubora wa Yanga viongozi wakapiga simu studio na kuanza kukosoa...
Iko hivi...
Kabla ya Yanga kupoteza walikua wamecheza mechi 7 na kushinda zote...
Katika kushinda hizo zote,Mechi 5 kati ya 7 walishinda kwa bao 1-0.
Mechi mbili wakashinda kwa mabao 2+ (4-0 vs Pamba na 2-0 vs JKT Tanzania)
Tafsiri nyepesi ni kwamba ushindi wa bao 1-0 kwenye mechi 5 kati ya 7 maana yake safu yako ya Ushambuliaji ina tegemea uimara wa safu ya ulinzi kushinda mechi.
Yaani timu ipo karibu zaidi kumaliza mchezo bila bao...ndio ukaribu wa sare au kufungwa..
Kama kwenye hizo mechi 5 wangeruhusu bao kwenye mechi mbili au 3 maana yake wangedondosha alama..
Leo safu ya Ushambuliaji haijafunga na safu ya ulinzi imefungwa ndio maana utofauti kwenye mchezo umeonekana.
Ukweli Yanga wana struggle kufunga mabao msimu huu tofauti na misimu iliyopita ingawa Kuna watu hawataki kuamini hicho kitu...
Project inaelekea mwishoni hii...
#NB: Lile goli hata uwaweke kina Diarra wawili wanakufa pale...
✍️Sospeter Ilagila
Kwamba kimoja hakitoshi mzee?Kama mnawaamin sana azam wambien turudiane tena
Simba alinyimwa Penati mblii we uto,Nikweli kabisa hata simba nae alieliwa kimoja nae anafadhiliwa na gsm
Maelezo meeengi broo!!Sidhani kuna mwanayanga ameumia kufungwa na Azam leo sababu tulikuwa pungufu na pia Azam si mpinzani wetu sisi uto raha yetu ni kumchinja mnyama tu basi. Makolo leo sherehe! Azam wasijisifu sababu bado hawajafikia ubora wa Yanga wameifunga Yanga pungufu hicho si kipimo sahihi. Azam bado sana kuifikia Yanga ambayo leo mchezaji wake mmoja tu Ibra Baka alikuwa na siku mbaya kazini wakapata advantage.
Azam wanajulikana kwa kuikamia Yanga na kufungwa kirahisi na vibonde kama Simba , Coastal union na vibonde wengine, hata Mayele ashawahi kusema Azam wakamshukia vibaya.
My take
Baka akumbushwe kuacha masifa ya kijinga kutafuta red card za kujitakia maana hiyo ni aina ya uchezaji wa mabeki wa vitimu vidogo kama Azam, Simba na wengine. Baka akumbushwe yuko timu kubwa Africa aache kucheza ndondo. Alichopaswa kufanya Baka ni kujilinda kwa kumuacha mshambuliaji akapambane na Diarra kipa bora wa ligi, mbona Ateba aliachwa akiwa offside na Diarra akaokoa. Na hata kama Saaduni angefunga Yanga kamili ingerudisha goli na kuongeza kama ambavyo tumeshawafanya Azam mara nyingi, tunatangulia kufungwa kipindi cha pili huwa ni msako mkali.