Utabiri umetimia, Wanyonge wataka mabadiliko. walioshiba hawataki No reform no election

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Huu utabiri uliyolewa na Hayati JKN

CCM imejaa mabwanyenye. Wameshiba. Wanajiamulia wanavyotaka.

Wanyonge wanataka mabdiliko kabla ya uchaguzi wa Oktoba 2025

Sio mbaya ukiahirishwa hata kwa mwaka lakini tupate Katiba mpya.
 
Hakika WOKOVU umekaribia, wewe ndio leo wa kuandika haya kweli? Shukrani sana sana, TUTASHINDA
 
Haya majitu ya Sukuma Gang yalikuwa yanamshangilia Magufuli akiharibu nchi. Leo hii upepo hauko nao akina Idugunde wamebakia kulia lia tu mitandaoni
Acha chuki zako. Wakati wa Magufuli watanzania walifurahia mema ya nchi. Wanyonge walipata mkombozi.
 
Haya majitu ya Sukuma Gang yalikuwa yanamshangilia Magufuli akiharibu nchi. Leo hii upepo hauko nao akina Idugunde wamebakia kulia lia tu mitandaoni
hayanihusu hayo mimi, najua mwenzako ameokoka, leo hii anauona ukweli, you are next
 
Haya majitu ya Sukuma Gang yalikuwa yanamshangilia Magufuli akiharibu nchi. Leo hii upepo hauko nao akina Idugunde wamebakia kulia lia tu mitandaoni
Inamaana SUKUMA GANG tu ndiyo wanataka wizi wa kura usikome?
Mkurugenzi wa TUME ateuliwe na mwenyekiti wa CCM?
Wanaokosoa mienendo mibovu ya serikali WATEKWE NA KUPOTEZWA?
Fikiria upya,duniani sote tunapita.
 
Huu utabiri uliyolewa na Hayati JKN

CCM imejaa mabwanyenye. Wameshiba. Wanajiamulia wanavyotaka.

Wanyonge wanataka mabdiliko kabla ya uchaguzi wa Oktoba 2025

Sio mbaya ukiahirishwa hata kwa mwaka lakini tupate Katiba mpya.
Kabisa tusimame kidete uchafuzi huu wa October usitokee!
 
Huu utabiri uliyolewa na Hayati JKN

CCM imejaa mabwanyenye. Wameshiba. Wanajiamulia wanavyotaka.

Wanyonge wanataka mabdiliko kabla ya uchaguzi wa Oktoba 2025

Sio mbaya ukiahirishwa hata kwa mwaka lakini tupate Katiba mpya.
Eeeh mwenyezi Mungu, tunakuomba Tanzania nzima tuandike RIP
 
Inamaana SUKUMA GANG tu ndiyo wanataka wizi wa kura usikome?
Mkurugenzi wa TUME ateuliwe na mwenyekiti wa CCM?
Wanaokosoa mienendo mibovu ya serikali WATEKWE NA KUPOTEZWA?
Fikiria upya,duniani sote tunapita.
Huyu pimbi hawezi kukuelewa. Kichwa chake kinafunza.
 
Back
Top Bottom