Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,733
- 239,352
Wakuu , natanguliza salamu,
Huu ni utabiri tu , kwahiyo unaweza hata usitimie .
Kwa mujibu wa utaratibu wa kuishi unaofuatwa katika Tanzania , Mtu yeyote anayevunja sheria aweza kwenda jela kutumikia kifungo , haya yanayotendwa na Msajili wa vyama vya siasa , iwe kwa kutumwa au kwa kujituma mwenyewe yaweza kumpeleka jela tena kwa kifungo kirefu sana .
Kuvunja katiba ya nchi kwa kutegemea kulindwa na dola ambayo inaweza kung'olewa muda wowote kidemokrasia , ni sawa na kujitafutia matatizo , huu mgogoro wa cuf unaoendelea kwa hakika kabisa umeletwa na Mutungi na wala si Lipumba kama tunavyodhani , lipumba ni kama tool tu ya kuwezesha kilichopangwa .
Namuomba Mungu anipe uhai nione mwisho wa Msajili huyu .