Tanesco imeshindwa kesi inatakiwa kulipa 320bn kwa HK Stanchart bank, Muhongo ndie boss, atafanyaje, the die is cast, the devil is lurking in the wings ti pounce! Go go Muhongo.Subiri bunge lianze, kurudi kwa Muhongo wizarani kutarejesha tena Escrow bungeni na safari hii Muhongo ataumia tena.
Watu wanakosa shukurani, Muhongo yupo very smart ila wanashindwa kumwelewa, mfano mdogo ni gharama za umeme kushuka kila anapokuwa Waziri, je hao wengine walioshindwa ndiyo wenye uzalendo au ndo hao wakuwatafuta watwambie Tanesco imeingiaje kwenye mitego ya kifisadi,
Kweli watu wengi mna vichwa vya wenda wazimu, Muhongo ni kati ya vichwa vichache TZ vinavyoumiza wasio jali maslahi ya Taifa.Kubenea ataanzia wapi kama alithubutu kumwandama Mamnvi kwa ufisadi kwa muda wa miaka 7 Leo huyo huyo anamsafisha.Ajenda ya ufisadi upinzani hawiwezi tena!!
Kwa hiyo maneno yako yanakubali kuwa Muhongo amefanya ufisadi?Kweli watu wengi mna vichwa vya wenda wazimu, Muhongo ni kati ya vichwa vichache TZ vinavyoumiza wasio jali maslahi ya Taifa.Kubenea ataanzia wapi kama alithubutu kumwandama Mamnvi kwa ufisadi kwa muda wa miaka 7 Leo huyo huyo anamsafisha.Ajenda ya ufisadi upinzani hawiwezi tena!!
HakikaKwa hiyo maneno yako yanakubali kuwa Muhongo amefanya ufisadi?
AhaaaKama ni utabiri basi huo wako wa paka maana uyo muhongo umeme wa buku5 wakaa siku 40 na jamaa yupo site kila siku kukomaa mradi uishe,yan huyu ndio anawapa faraja wa tanzania haijapata tokea,wananchi wanakobolea vijijin nafaka wanaipa thaman ukija dalali wanakutajua bei yao,