Hallo wanaJF,
Kwa muda wangu wote wa kuwa katika OBSERVATIONS za masuala ya kimapenzi, nime-conclude kuwa hakuna mtaalam wa mapenzi ya mtu mwingine ama watu wengine, ila kila mtu ni mtaalam wa mapenzi yake yeye mwenyewe na mtu wake....!!!!
Tazama hii hapa:
1.kuwa na mwanamke mzuri, au mwanamme handsome ama tajiri sio mwisho wa wapendanao ku-cheat
2.kila siku iendayo kwa Mungu watu wanalalamika kuhusu mapenzi, ni km vile hakuna suluhisho la kudumu
Why:
nahisi kuwa mapenzi ni lugha maalum inayozungumzwa baina ya mioyo ya wapendanao, na kwa bahati mbaya sana moyo wa mtu mwingine alie nje ya mapenzi hayo hawezi kirahisi kusikia hio lugha wanayozungumza!!!!!
NB:
TAFAKARI KWA KINA, huenda ukanielewa na kukubaliana nami!!!!
NAWASILISHA,
VUNJA BEI.