Uswazi

Chagani

Member
Joined
Feb 11, 2015
Posts
7
Reaction score
0
Mama mdaku alishangaa kila siku mchungaji anaingia nyumba ya jirani yake ambaye hana mume, akawa anajiuliza anakwenda kufanya nini? Uzalendo ukamshinda akamuuliza "Mwenzangu, mbona kila siku mchungaji anakuja kwako, vipi anakuja kukuombea?" Akajibiwa "Nyoo, umbea tu! Mbona kwako kila siku anakuja mwanajeshi kuna vita?"
 
Jitaidi unaweza ukanchekesha naona kipaji unacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…