Uswazi! Acha kuitwe Uswazi! Mama Kidawa ni mjamzito, hawezi kumpa mumewe penzi Kamwonea huruma kwa kiu aliyo nayo. Akampa buku 5 akamwambia akatulize kiu kwa Ashura. Jamaa kufika Ashura akamtolea nje, hela yake nyembamba. Mama Kidawa akaja juu akamwambia mumewe "usikonde, nenda kwa Mwamvita yule mtu wangu ila huyu Ashura atanikoma. Yy akiwa na mimba mimi namhifadhi mumewe hata bure akizidiwa leo hii anajifanya mjanja. Tutaona!
Mume hoi! Wanawake kweli vi2ko