USUPER STAA KAZI -Kuna watu wanachora

Au labda sisi ndo tumeona vibaya pengine. Ila dayamondi anabadilisha sana vitobo. Au ndo maana huwa wanasema msanii ni kioo cha jamii?

Siku hizi maana halisi ya kioo cha jamii imepotea
 
....heheh hiki kikaragosi kinatoa tafsiri nyingi

1. dayadomo anadate na mchuchu kariba 'mama yake'

2. dayadomo hajiwezi bila mbeleko toka kwa zeledibosi

3. dayadomo analelewa
 
....heheh hiki kikaragosi kinatoa tafsiri nyingi

1. dayadomo anadate na mchuchu kariba 'mama yake'

2. dayadomo hajiwezi bila mbeleko toka kwa zeledibosi

3. dayadomo analelewa

Umesahau moja,
it looks like Zari kaenda machimbon akachimba toto almasi
 
hiyo cartoon inamaanisha Zari kashamalizana kuchuna wengine,yaani she is a gild digger..sasa anataka amchune diamond..
in other word we say the lady Zari is a gold digger ..mchunaji and she is out to dig diamond from diamond the msanii
 
Uchambuz exclusive...hivi ni kweli…? Mbona Almasi hana hela kiviile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…