Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 381
Umetumia shilling ngapi bana kununua vocha zao mpaka waanze kukusumbua kwa hiyo Tshs 2,000/= tu??Kiukweli vodacom nimewachoka kwa meseji zao za kunidai ,yani nlikopa 2000 nipige tafu tangia Mwezi uliopita ,lakini tangia hapo ni kunitumia meseji kukumbusha hela yao ,jamani voda kama mnanisikia acheni usumbufu elfu 2 kitu gani bhana ntawalipa sio daily najua imeingia msg ya M-pesa nikiangalia nakuta meseji ya kukumbushwa deni,mnaboa ,watu tunahonga Mamilioni sembuse hiyo buku 2 mnayonidai mkiendelea na usumbufu navunja line ,kama kulipa ntawalipa tu nyie hamuoni hali ilivyo ngumu usawa huu wa
Bora hata umelianzisha maana hata ukinunua credit ya 500 m-pesa message utakazotumiwa ni zaid ya 8 sasa huu ni usumbufu,mara umepata dk za south, china yaan wananiboa kweli.Kiukweli vodacom nimewachoka kwa meseji zao za kunidai ,yani nlikopa 2000 nipige tafu tangia Mwezi uliopita ,lakini tangia hapo ni kunitumia meseji kukumbusha hela yao ,jamani voda kama mnanisikia acheni usumbufu elfu 2 kitu gani bhana ntawalipa sio daily najua imeingia msg ya M-pesa nikiangalia nakuta meseji ya kukumbushwa deni,mnaboa ,watu tunahonga Mamilioni sembuse hiyo buku 2 mnayonidai mkiendelea na usumbufu navunja line ,kama kulipa ntawalipa tu nyie hamuoni hali ilivyo ngumu usawa huu wa