Usumbufu wa Suma JKT

Usumbufu wa Suma JKT

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,164
Reaction score
43,855
Hivi hawa jamaa ambao wanakosaga nafasi za kujiunga na Jeshi na kuishia kuwa Walinzi wa magetini huwaga ni stress zinawasumbua au???? Yani kama ni vyuoni jamaa wasumbufu balaa wanaweza kukukomalia utoe kitambulisho akati wengine wanapita tuu... Kwenye maofisi ndo balaa wanapenda Kuabudiwa sanaa yani utadhani wanaimiliki dunia wakikaa kulinda yale mageti Wajirekebishe.

Ushawahi Kupata Usumbufu wa Suma JKT???
 
Heshimu kazi za watu mzeiyaaaa

Back
Top Bottom