new generation JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 815 Reaction score 1,725 Jul 27, 2015 #1 Ndugu wana JF, Nimekua nikipata simu toka Tigo (0901656564) hii namba imekua kero, yaani wanakupigia then hakuna la maana wanaloongea, so wapendwa ni namna gan naweza disable calls za hii number (0901656564)?
Ndugu wana JF, Nimekua nikipata simu toka Tigo (0901656564) hii namba imekua kero, yaani wanakupigia then hakuna la maana wanaloongea, so wapendwa ni namna gan naweza disable calls za hii number (0901656564)?