Usombaji watu wakera makatibu

Hawa jamaa wanajitekenya afu wanacheka wenyewe....
 
Mkuu wala usipoteze muda wako kujaribu kuwawekea evidence . Wana fahamu kwamba bila kusafirisha watu mikutano ya CCM haifani. Hapa wapo vijana wa CCM kazi yao ni kukataa Topic yoyote yenye kuonyesha mlengo wa kukibomoa chama cha Mapinduzi. Sisi tuna wajibu kwa kile tunacho amini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…