Hii ni wiki ya pili sasa, uso wangu una vipele vidogodogo na unawasha sana, najikuna sana na umeanza kuharibika kwa mikwaruzo ya kujikuna. any help plz

Pole sana,chakufanya uache kujikuna unapojikuna na kitengenez michubuko/majeraha bacteria huingia na kuongeza ukubwa wa tatizo,pamoja na muwasho Hugo lakini usijikune ukisikia Kuhitaji kujikuna ni vyema kunawa USO wako,nenda kwa hospitali upewe ushauri upset,wiki mobility in nyingi sana kukaaa bila kupata Ushauri wa daktari