Balozi wa Azam FC humu jukwaani, ndetichia.
Ilikuwa baada ya game ya Azam na Al-Nasr Juba, pale nje ya uwanja mkuu wa Taifa. Ni bro poa sana, kama vile tu anatokelezea humu jukwaani, hana makuu na ni mchangamfu wa kutosha, cha zaidi ni kuwa tulipanda gari moja wakati wa kurudi makwetu.
Kifupi, ilikuwa poa sana kukutana na huyu jamaa...
Hapo tu unaweweseka ndugu yangu kwa kukutana na Ndetichia...
Je ukimkuta Gang Chomba katika uwanja wa shule ya msingi Mashujaa wanapofanyia mazoezi Abajalo, we si utavua shati na kukimbia kidali wazi kwa furaha??
all in all karibu tena Kaka

Ni ishara au alama gani ilitumika mpaka ukaweza kumtambua????? au ulisikia watu wanamuita kwa jina ID Name anayotumia hapa JF!!!!!.Balozi wa Azam FC humu jukwaani, ndetichia.
Ilikuwa baada ya game ya Azam na Al-Nasr Juba, pale nje ya uwanja mkuu wa Taifa. Ni bro poa sana, kama vile tu anatokelezea humu jukwaani, hana makuu na ni mchangamfu wa kutosha, cha zaidi ni kuwa tulipanda gari moja wakati wa kurudi makwetu.
Kifupi, ilikuwa poa sana kukutana na huyu jamaa...
Gang Chomba usimtishe MPHAMVU. Mzee wa Abajalo, umeona watu leo wamepigwa na LIBOLO.
GC the italian lover milan yaani najuta kwanini tumewauzia yule super mario balo45 kiasi anaweza kuleta ubingwa milan na jana tumeangukia pua kwa hawa wa roma..
magazeti ya kesho...
majira simba yakalia libolo...
Nipashe Libolo moja tu simba hoi...
mwananchi libolo laichana simba...
kasheshe simba ndembendembe kwa libolo...
tz daima chezea libolo weye!...
Gang Chomba usimtishe MPHAMVU. Mzee wa Abajalo, umeona watu leo wamepigwa na LIBOLO.
Hii mikwara kama ya msela angu Juma Kipila, kwamba usimtishie jela kwa kuwa ana kirago Ukonga. Siku wajomba walipotudandia na kutupeleka kituo kidogo acha mkojo umtoke...
utapasua mbavu zangu mkuuHah hah haaah Juma Kipila kanitia aibu