Hapana Mkuu, Nilitumia Dakika Tano Kuthibitisha Kama Ni Yeye Na Inference Yangu Ilikuwa Sahihi Kwamba Ni Dkt. Shika Aliyekuwa Akisubiri Giza Liingie Ndio Atokee Kugombania Usafiri Wa Dala Dala. [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaa mkuu ila kumbuka duniani tuko wawili wawili.Labda uliemwona ni mjomba wake dokta Shika
Kweli Mkuu! Babu Wa Samunge Loliondo Ndiye Aliyetumiwa Na Kupata Maslahi Makubwa Kuliko Hata Wastaafu. [emoji23][emoji23]Leo nakaa mbele ili nifaidi,,narudia kusema nilichosema zaman ogopen sana mtu wa kitengo cha propaganda wa awamu hii,ha ha ha ametusoma sana watazania na anatupatia kwel kweli
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee kweli sisi sote ni wahangaKwani Wewe Umepata Zile Noah? [emoji23][emoji23]
Inaweza Akawa Ni Agent Lakini Sio Kwa Kile Kiasi Tulivyo Aminishwa Kwamba Atumiwe Na CIA Mara Ana Conflict Na KGB. This Is HoaxHahahah watu walipiga watu kamba humu wengine mara wamefuatilia huko urusi ni kweli hadi watu wanaoleta threads za kuaminika humu waliingoa cha kike mara CIA mara ana mabilion kweli kumbe jamaa anapigwa na matapeli wa mitandao maskini
Asije Akwa Kina King Majuto Aanze Kuomba Msaada Wa Matibabu.Doctor shika, anatakiwa aungwe kwenye bongo movie, ataweza. we mdada uliyekuwa unampromote tafadhali ongea na hao bongo movie awe mwigizaji, anaweza huyo mzee ili kipaji chake kisife. tafadhali, tiari alishatengeneza jina ni asset huyo.
Inasikitisha Sana Mkuu!Mie nikutana nae posta nilienda kupokea pesa kwenye western union, jamaa alikuwa choka mbaya nikampa buku tano
wacha umbeya kadandie gari lako la g/mboto uwahi kwenu pugu.Habarini Wakuu!
=
=
Usiku Wa Jana Majira Ya Saa Moja Na Dakika 45 Wakati Natoka Zangu Mugabe Kwa Miguu Kuelekea Mawasiliano.
Nikawa Nashuhudia Uumbaji Wa Mungu Taratibu Nikitembea Kwa Hatua Za Kuhesabu, Ukizingatia Mawasiliano Imekuwa Ni Center Ya Wanachuo Wa UDSM Na Law School Hasa Kwenye Zile Best Restaurants Moja Maarufu Kwa Jina La "Best Foods" Mkabala Na Sehemu Dala Dala Zinapoingilia Ndani Ya Stand.
=
=
To My Dismay ( Kwa Mshangao) Nikamuona Mtu Aliye Tikisa Jamii Ya Watanzania Kwenye Sakata La Nyumba Za Lugumi Ambapo Alijizolea Umaarufu Kebe Kwa Ile Kauli Yake "900" Itapendeza, Hali Iliyopelekea Awe Gumzo Kila Sehemu Na Hapo Hapo Makampuni Yakaanza Kumtumia Kama Sehemu Ya Kutangaza Biashara Zao.
=
=
Alikuwa Anatembea Kwa Miguu Kutokea Upande Opposite Na Mimi Kitu Ambacho Kilifanya Tuonane Uso Kwa Uso, Alivaa Shati Jeupe La Mistari, Mikono Mirefu, Kiatu Cheusi Blunt, Mkanda Wa Brown Na Suruali Ya Dark Blue, Nywele Zikiwa Hazina Ushirikiano Na Bahasha Ya Khaki Mkononi.
=
=
Nilisimama Dakika Tano Mfululizo Kumuangalia Kwa Masikitiko Makubwa Mpaka Alivyo Ishia Kwenye Dala Dala.
Nilibaki Kujiuliza Maswali Mengi Kama Vile Alisema Angeenda Marekani Kwenye Ile Interview Yake Ya Mwisho Kitu Ambacho Sivyo. Pia Mshana Jr Alisha Tuaminisha Jamaa Yupo Under Special Mission Na Ni Private Eye. Sasa Ile Bahasha Ya Khaki Ni Kwamba Alikuwa Anatafuta Kibarua?
=
=
My Take
Serikali Inapowatumia Watu Kama Hawa Iwe Inawapa Namna Vinginevyo Ni Aibu Sana.
Mbona Babu Wa Samunge Loliondo Alifanikiwa Sana Kupata Kiinua Mgogongo Kuliko Wastaafu? Hii Awamu Vipi?
Mie nikutana nae posta nilienda kupokea pesa kwenye western union, jamaa alikuwa choka mbaya nikampa buku tano