Usmart wamponza

Nitumie namba yake mimi niko tayari

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ranjan

Pm namba yake ya simu tafadhali!!!!!
Kwa vikao tu shida yake itatanzuka na wala haihitaji multi sector collab,under this one roof she will be happy!!!
hongera mkuu kwa kuiona hii fursa....
 
Mwambie ajipake mavi labda vidume vitajitokeza.
hilo neno mavi umenikumbusha maubiri ya padri juzi kwenye kongamano la injili hapa kanisa la njiro-arusha.......ukisoma malaki 2:3
 
kwenye unyago wanafundisha namna ya kujiweka ili utongozwe?
 
yah!
hilo lipo na mi pia nmeexperience kw mdada mmoja alkua jirani yang, Nlichokiona kw yule mdada alkua mzito sn kusocialize na watu,mbabe kias flan na kauli zake kdg zilikua za kibabe sn japo yy alkua halitambui hilo akiona ni maisha ya kawaida sn yy km mdada kutojirahisi kwa wanaume.
Oneday baada ya kua marafik ktkt ya story akanambia ana miaka 2 single na hajawah kua approached na man yoyote ktk kipind chote hicho despite uzuri na usmart wake.
 
pia kuna factors nyngn nyng zinasababisha likiwemo hili la wanaume kusimuliana simuliana khs relation zao na wapenzi wao, hii inaweza kuharibia sn mdada iwapo itakua in severe negative way. Kwa mfano: harufu mbaya kunako,kujulikana na magonjwa ya kurithi yatakayomfny man husika ajifeel inconfortable mf:kifafa,gono n.k (wengi wao hawapendi) , shepu mbaya ya Uke na maumbile mengine mengine ya ajabu mwilini mwake especially labia, historical background ya family yake au yy mwenyewe nakadharika.
 
huyo kilaza....ana compasate kwenye viwalo
 
Hayo ni mavazi umeongelea, lugha yake ikoje/kauli?? Maana sio wanaume wote wanatekwa na mwonekano wa nje, not all mens are cheap!!
 
Vigezo vya kupendwa usmart ni sehemu ndogo tu! anaweza kuwa na mapungufu mengine ndio maana hawamfuati! mfano kujiona kuwa yeye ndio mrembo kuliko watu wote n.k wanaume wa siku hizi hatuhitaji shida!
 
Vigezo vya kupendwa usmart ni sehemu ndogo tu! anaweza kuwa na mapungufu mengine ndio maana hawamfuati! mfano kujiona kuwa yeye ndio mrembo kuliko watu wote n.k wanaume wa siku hizi hatuhitaji shida!

lakini wengi wanaangalia sura!
 
lakini wengi wanaangalia sura!
sio kweli labda wa kuchezewa! unafikiri uzuri wa sura ni sababu ya kumfanya mtu awe na wewe? Mapenzi yana kanuni zake, kanuni ambazo usipozifuata huwezi kupata furaha uliyotarajia kama huyo mdada! zamani ndio utasikia wasukuma wanakwambia bint mweupe ng'ombe 120! vijana wa sasa wanaelewa pumba ni zipi na mchele uko wapi? wa weza chukua mtu kwa sura yake but no enjoyment kwenye kuanzia tendo hadi kila kitu! kila mtu ana criteria zake huyo unasema yuko smart mara umehamia ni mzuri au unafikiri hayo maneno yana maana sawa! waweza ona mzuri kwangu akakosa vigezo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…