Usmart wamponza

Watanzania bwana...sio anajiweka ndivyo alivyo..si kila mwanamke smart anahudumiwa na mwanaume..wengine wanaendesha miradi ya familia zao zilobarikiwa...acheni maneno...khaaa..

yani umeongea nlichotaka kuongea.
 
Anaweza akawa smart kimavazi lakin sio smart kichwan na sehemu nyeti.....::baadhi ya wanaume huwa wanaambiana!!!!!

Hivi kwanini Eti.. unaweza ukamkuta demu anajipenda utadhani Miss World vile. Na msafi balaa. Ila kwenye Maeneo nyeti unaweza ukakimbia aisee unaweza ukakuta ndo anatoa......... kali acha hata hamu ya kufanya inakata kabisa miss strong

Ila kutana na wale wadada wa kawaida tu usafi ni wa kawaida si sana. Utawapenda
 
Last edited by a moderator:

Ndo hapo sasa unatafuta mchawi nani lol!!!!?
 
Last edited by a moderator:
ranjan

Pm namba yake ya simu tafadhali!!!!!
Kwa vikao tu shida yake itatanzuka na wala haihitaji multi sector collab,under this one roof she will be happy!!!
 
ranjan

Pm namba yake ya simu tafadhali!!!!!
Kwa vikao tu shida yake itatanzuka na wala haihitaji multi sector collab,under this one roof she will be happy!!!

ngoja niongee nae akikubili nitaku pm.
 
ngoja niongee nae akikubili nitaku pm.

Mtu mwenye shida ya aina hii huwa haombwi ushauri sababu kwa tatizo lake anahitaji msaada tu sio consent yake juu ya kusaidiwa!!!!!!

Fanya hima nafasi ni chache kwa watu wenye moyo kama wangu,asijekukulaumu akijua ulimchelewesha!!!!!
 
hahaha sawa mkuu OLESAIDIMU nitafanya hivyo.
 
Atafute ''majukwaa'' muafaka yanayoweza kumkutanisha na watu wa kariba yake. Mf; unaweza kuwa unataka mtu mwimbakwaya, ni vizuri ukawa karibu nao kwa kuhudhuria matamasha yao. Kingine ajifunze kuongea kwa kutumia lugha ya mwili (body language).
 
inawezekana kwamba hayuko social..ajaribu kujichanganya na watu in a smart way,i jst hope hajickii kama yuko better than others
 
hajawah kuwa nae ama sasa hivi ndo hana??
 
ranjan

Pm namba yake ya simu tafadhali!!!!!
Kwa vikao tu shida yake itatanzuka na wala haihitaji multi sector collab,under this one roof she will be happy!!!

my kaka don tell me.......

the bold part jeezy ......mie sina la kusema ati!!!
 
unajua wadada wengi wa siku hizi wanaona unyago ni kitu kilichopitwa na wakati na wala halina muhimu kumbe uko wanakosa mambo mengi ya msingi........wadada mkafanyiwe unyago elimu ya uko ni muhimu na ina manufaa endapo utaitumia vzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…