Usiyoyajua kuhusu Konokono

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,578
Konokono hana mfupa wowote kwenye mwili wake na pia konokono aina ya
"HERMAPHRODITES" kwa maana wanamiliki jinsia mbili (Kiume na Kike)

Kwenye kujamiiana wanaviziana, atakayeruhusu kupandwa ndo atataga mayai.Huyo ndo konokono lakini kitu pekee cha ajabu kabisa ni kuwa moja ya sifa anayofanana na binadamu ni kwamba akimeza Chakula misuli ya mkiani hujikaza sawa na BINADAMU AKIMEZA MATE makalio hubana kwa kipindi chote hadi mate yazame kooni.
Huwezi amini kuna watu wameshajaribu kumeza mate hata kabla hawajamaliza kusoma.


SIO KILA KITU KINAJARIBIWA MTAKUJAGA KUFA NYIE.[emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo leo siku ya pili dili zote zinakwama, njia pekee ya kujifariji ni kuandika visivyoandikika.
 


Hapa Ben Kinyaiya ananiambia umkome kumfananisha na konokono alapo chakula,yeye anameza mate kwa raha zake.
 
Wamewahi kunipikia Rosti ya hii kitu, ni tamu balaa...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23]fala wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…