Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,098
- 8,205
Mungu akubariki.No mimi ni mtu wa staha sana,sema siwezi kutangaza nani na nani nishawaidia bila masharti,niliwahi kuwasaidia mtu na mkewe ambao walijitangaza wamekwama vibaya sana huko dar ,maeneo ya tanganyika packers,niliwafuata na nikakaa nao siku nzima tukiongea na kupeana akili,hivi sasa wana duka la jumla na wamejenga nyumba ya vyumba 3
AminaMungu akubariki.
Kama pesa hatoi inbox nikafanye nn mieFimbo ya ukwaju naona unataka kuwatembezea watitonwa like mkong'oto.
Monetary doctor
Hahaha, ukiemda inbox ankuuliza kwanza jinsia yako akigundua wewe ni wa kiume anaku ignore.Kama pesa hatoi inbox nikafanye nn mie
hakuna anayelazimishwa kujaKama pesa hatoi inbox nikafanye nn mie
hii ndio akili yako yako ilivyoHahaha, ukiemda inbox ankuuliza kwanza jinsia yako akigundua wewe ni wa kiume anaku ignore.
Nimea assume tu mkuu kwa sababu wewe kwenye kutembeza fimbo hujambo.hii ndio akili yako yako ilivyo
Sasa naomba nikupe maarifa,kwenye maisha jitahidi kuto assume kitu,pili kama umesoma vizuri nyuzi zangu,yes hayo mambo ndio niliyafanya lakini miaka 40 iliyopita kwa hii age kwa sasa,nafanya mambo yafuatayo:Nimea assume tu mkuu kwa sababu wewe kwenye kutembeza fimbo hujambo.
Nakuuelewa mkuu lakini nikikumbuka ule Uzi wako usemao fimbo ya ukwaju napata mashaka mkuu.Sasa naomba nikupe maarifa,kwenye maisha jitahidi kuto assume kitu,pili kama umesoma vizuri nyuzi zangu,yes hayo mambo ndio niliyafanya lakini miaka 40 iliyopita kwa hii age kwa sasa,nafanya mambo yafuatayo:
1.nasaidia wanaume na wanawake kuoana,na hapa nimewezesha kama ndoa 3 au 4 hivi
2.nadaidia kusuluhisha migogoro ya ndoa
3.nashauri vijana juu ta mbinu za kukabiliana na maisha
usipate mashaka,ondoa hofuNakuuelewa mkuu lakini nikikumbuka ule Uzi wako usemao fimbo ya ukwaju napata mashaka mkuu.
Sawa mkuu.usipate mashaka,ondoa hofu
Sina ukame wa mbususu,pia mbona zipo nyingi na wala sina haja ya kufanya hadaa,kama nazitaka.Na jinsi navyo waheshimu wanawake,iwapo ntataka ntatongoza kwa stahaKumbuka mbususu haina kustaafu.
Taratibu mji wa moto huuhakuna anayelazimishwa kuja
Mshenzi sanaHahaha, ukiemda inbox ankuuliza kwanza jinsia yako akigundua wewe ni wa kiume anaku ignore.
Hahahaha 😂Mshenzi sana