Kwamba wanawake huwa hawajui sifa za mwanaume anayestahili kuwa baba na asiyestahili kuwa baba? Uko serious kweli wewe?maana yako ninaielewa ni sahihi kuwa kila si mwanaume ana sifa za kuwa Baba, lakini pia huwezi kuwalaumu wanawake kwa kutojua hizo sifa as long as wao wanashawishiwa(kutongozwa) na unajuaje hana sifa za kuwa Baba wakat bado hajawa Baba? hicho ni kitendawili ambacho hakuna mwanamke anaweza kung'amua wataishia kubet ndo yale mwanamke anajikuta ametembea na wanaume wengi
Acha kufuata bibilia wakati hiki kizazi cha wanawake cha sasa hakifuati bibilia na tena kinaipondea sana hiyo bibilia kinasema ipo kwa ajili ya kumnufaisha mwanaume, sasa basi na wewe usijaribu kabisa kufuata hiyo bibilia hasa kwenye vipengele ambavyo vinamnufaisha mwanamke mfano kama unaposema tuwapende,kuwahudumia na kuwalinda wake zetu.Biblia imesema tuwapende wake zetu
Are you for real to throw this inquiry to me or you're just being sarcastically curious here?Kwanini nguvu kubwa sana za mashirika mbali mbali duniani hutumika kukipambania kiumbe kilicho smart "Ke" kuliko kiumbe kisicho smart "Me"?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
enh kabisa asemeHivyo vya kuwekeza vyenyewe unavyo? Au hizo buku buku za vocha ndio unaona uwekezaji
Mkumbushe kuwa hata laki moja anayohongwa ili agongwe ni buku buku mia.Buku buku pia ni hela kwasababu huwezi kuwa na million au laki bila kuwepo na buku ndani yake
Haijawahi kurudi man believe it..Ukiwekeza inaweza isirudi
Tena unaweza kutana na bwawa la mindu au miatano mitano mbiliHaijawahi kurudi man believe it..
No probability it is what it is hata ukifumba macho..
Haya mangiri ndo tunayasikia kwenye vyombo vya habari yamejipachika shaba kichwani.Yaani mipimbi ni mingi sana na haisikii hata iweje😀😀😀Mwisho wa siku unakuja kugundua watoto wenyewe sio wako,endelea kuwaamini hao viumbe.