Kitu pekee ambacho mwanamke anawekeza kwenye mahusiano ni hisia tu, kwa mwanaume yoyote unaetumia akili kufikiri kikamilifu hawezi kuwekeza kwenye hisia kwa sababu hisia zinabadilika au kuisha kabisa muda wowote.
Huu ni ukweli ambao wanaume karibu wote wanaujua lakini bado wanaendelea kufanya ilo kosa. Wakishapigwa na kitu kizito ndio wanaishia kufanya mauaji au kuwapiga matukio wanawake wengine wakifikiri wnapunguza machungu, kumbe wanawaumiza wasiohusika na maumivu yao.
Mwanaume usibebe iyo risk ya kuwekeza kwa mwanamke, iwe ni kumsomesha, kumuhudumia, kumfungulia biashara, kusaidia ndugu zake n.k, abort huo mpango.
Unajua kwanini wanawake wanaongoza kudai talaka?, sio kwamba wamekua strong women, ila ni kwa sababu hawana cha kupoteza, hawajawekeza kwenye iyo ndoa ukilinganisha na alivyowekeza mwanaume.
Usiwekeze kwa mwanamke kiasi ambacho hauwezi kustahimili maumivu ya kukipoteza, kabla ya kuwekeza kwa mwanamke tambua ya kwamba wewe unapata hasara, yeye anapata faida na ana uamuzi wabkusitisha hayo mahusiano bila kukulipa compensat
Hapo Kuna vitu viwili bro kama ni mke wa ndoa unashindwaje kuwekeza kwake na hakuna ajuaye kesho huo wasiwasi wa kutokuwekeza kwake unatoka wapi ukiwa na fikra za namna hiyo ni rahisi kufa na magonjwa ya moyo sasa kama utashindwa kuwekeza kwa mke wako wa ndoa unataka ukawekeze wapiKitu pekee ambacho mwanamke anawekeza kwenye mahusiano ni hisia tu, kwa mwanaume yoyote unaetumia akili kufikiri kikamilifu hawezi kuwekeza kwenye hisia kwa sababu hisia zinabadilika au kuisha kabisa muda wowote.
Huu ni ukweli ambao wanaume karibu wote wanaujua lakini bado wanaendelea kufanya ilo kosa. Wakishapigwa na kitu kizito ndio wanaishia kufanya mauaji au kuwapiga matukio wanawake wengine wakifikiri wnapunguza machungu, kumbe wanawaumiza wasiohusika na maumivu yao.
Mwanaume usibebe iyo risk ya kuwekeza kwa mwanamke, iwe ni kumsomesha, kumuhudumia, kumfungulia biashara, kusaidia ndugu zake n.k, abort huo mpango.
Unajua kwanini wanawake wanaongoza kudai talaka?, sio kwamba wamekua strong women, ila ni kwa sababu hawana cha kupoteza, hawajawekeza kwenye iyo ndoa ukilinganisha na alivyowekeza mwanaume.
Usiwekeze kwa mwanamke kiasi ambacho hauwezi kustahimili maumivu ya kukipoteza, kabla ya kuwekeza kwa mwanamke tambua ya kwamba wewe unapata hasara, yeye anapata faida na ana uamuzi wabkusitisha hayo mahusiano bila kukulipa compensation.
I love you, i love you my brother.
Ukweli unachokiongea kabisa.. huyu GUBU wangu nimekua nikimpa zawadi za hapa na pale nikimfanyia vitu vya hapa na pale vikubwa kwa vidogo.Kitu pekee ambacho mwanamke anawekeza kwenye mahusiano ni hisia tu, kwa mwanaume yoyote unaetumia akili kufikiri kikamilifu hawezi kuwekeza kwenye hisia kwa sababu hisia zinabadilika au kuisha kabisa muda wowote.
Huu ni ukweli ambao wanaume karibu wote wanaujua lakini bado wanaendelea kufanya ilo kosa. Wakishapigwa na kitu kizito ndio wanaishia kufanya mauaji au kuwapiga matukio wanawake wengine wakifikiri wnapunguza machungu, kumbe wanawaumiza wasiohusika na maumivu yao.
Mwanaume usibebe iyo risk ya kuwekeza kwa mwanamke, iwe ni kumsomesha, kumuhudumia, kumfungulia biashara, kusaidia ndugu zake n.k, abort huo mpango.
Unajua kwanini wanawake wanaongoza kudai talaka?, sio kwamba wamekua strong women, ila ni kwa sababu hawana cha kupoteza, hawajawekeza kwenye iyo ndoa ukilinganisha na alivyowekeza mwanaume.
Usiwekeze kwa mwanamke kiasi ambacho hauwezi kustahimili maumivu ya kukipoteza, kabla ya kuwekeza kwa mwanamke tambua ya kwamba wewe unapata hasara, yeye anapata faida na ana uamuzi wabkusitisha hayo mahusiano bila kukulipa compensation.
I love you, i love you my brother.
Mwanamke hawezi kutupa watoto wake kauli hii inaonesha wewe bado ni mtotomimi nitawekeza kwa mke wangu, hata kama sitafaidi mimi kwa sababu labda kwa mabadiliko hayo uliyoyasema bado watoto wangu watafaidi mwanamke hawez kuwatupa watoto wake tofauti na mwanaume
Naona wewe unaweza kuwa mtoto zaidi yangu, kutupa(kutelekeza)Mwanamke hawezi kutupa watoto wake kauli hii inaonesha wewe bado ni mtoto
Women are smartly calculative when it comes to marriage, once they agree to go down the aisle with you they already have a well beneficial exit plan.Usually they aim to gain something
Kwanini hao wanawake wakubali kulala/kuzalishwa na wanaume wa ovyo ovyo wasiokuwa na sifa za kuwa baba?Mzee Baba hapa mwanaume hana pa kukwepea, wengi wanasababisha mimba na kuingia mitini
Unaweza ukawalaumu wanawake kwa hilo mkuu? wewe unapoenda kumtongoza mwanamke unamwambia ukweli au unamdanganya ili akubali na utimize haja yakoKwanini hao wanawake wakubali kulala/kuzalishwa na wanaume wa ovyo ovyo wasiokuwa na sifa za kuwa baba?
Hivi unajua kwamba sio kila mwanaume anastahili kuwa baba??
Umenielewa lakini hapo nilipokwambia sio kila mwanaume ana sifa za kuwa baba???Unaweza ukawalaumu wanawake kwa hilo mkuu? wewe unapoenda kumtongoza mwanamke unamwambia ukweli au unamdanganya ili akubali na utimize haja yako
True......wanaume wao wanajiona wajanja wakati sio kweli.Women are smartly calculative when it comes to marriage, once they agree to go down the aisle with you they already have a well beneficial exit plan.
Sana sana atakwambia eti nimekuzalia.Hajawahi hata siku 1 kunipa chochote zaidi ya hizo tunaita hisia zake na huo mwili wake.
Kwanini nguvu kubwa sana za mashirika mbali mbali duniani hutumika kukipambania kiumbe kilicho smart "Ke" kuliko kiumbe kisicho smart "Me"?Women are smartly calculative when it comes to marriage, once they agree to go down the aisle with you they already have a well beneficial exit plan.
maana yako ninaielewa ni sahihi kuwa kila si mwanaume ana sifa za kuwa Baba, lakini pia huwezi kuwalaumu wanawake kwa kutojua hizo sifa as long as wao wanashawishiwa(kutongozwa) na unajuaje hana sifa za kuwa Baba wakat bado hajawa Baba? hicho ni kitendawili ambacho hakuna mwanamke anaweza kung'amua wataishia kubet ndo yale mwanamke anajikuta ametembea na wanaume wengiUmenielewa lakini hapo nilipokwambia sio kila mwanaume ana sifa za kuwa baba???
Suala la kutongoza kwa mwanaume halizuiliki kwa namna yoyote ile, hivyo hoja yako itakuwa ni dhaifu sana kama utalifanya ndio kiini cha mantiki yako.
Dah Nmecheka sana alooMwisho wa siku unakuja kugundua watoto wenyewe sio wako,endelea kuwaamini hao viumbe.
Bahati mbaya unazungumzia wanawake watatu tofauti, hahahaUsidate na liability woman na utapoamua kuoa zingatia vigezo vitatu kutoka kwa mwanamke, productive, virginity, submissive.
Unajisahihisha mwenyewe kijana.Naona wewe unaweza kuwa mtoto zaidi yangu, kutupa(kutelekeza)
Vile vile hakuna ambapo imesema tuwape helaBiblia imesema tuwapende wake zetu
Mama yako ni jinsia gani?Kitu pekee ambacho mwanamke anawekeza kwenye mahusiano ni hisia tu, kwa mwanaume yoyote unaetumia akili kufikiri kikamilifu hawezi kuwekeza kwenye hisia kwa sababu hisia zinabadilika au kuisha kabisa muda wowote.