Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,235
- 40,247
🛠🔨Usiwekeze kwa mwanamke kiasi ambacho hauwezi kustahimili maumivu ya kukipoteza,
🤣🤣nasubiri comebackUshapata ajira? Au ndo ulikua unawekeza ukapigwa na kitu kizito?
Mwisho wa siku unakuja kugundua watoto wenyewe sio wako,endelea kuwaamini hao viumbe.mimi nitawekeza kwa mke wangu, hata kama sitafaidi mimi kwa sababu labda kwa mabadiliko hayo uliyoyasema bado watoto wangu watafaidi mwanamke hawez kuwatupa watoto wake tofauti na mwanaume
Kwa hiyo kama hana ajira ndio ubongo wake haufanyi kazi?Ushapata ajira? Au ndo ulikua unawekeza ukapigwa na kitu kizito?
Dada mbona povu jingi sana au hii mada imeletwa kwa ajili yako gold digger?Hivyo vya kuwekeza vyenyewe unavyo? Au hizo buku buku za vocha ndio unaona uwekezaji
Hizo ni mbinu zao za kimedani Mkuu ili uingie line akupige na kitu kitu kizito.Haya mambo twende nayo TU Kuna saa mwanamke anakupa penzi na furaha hadi hajakuomba umsomeshe ila mwenyewe unatafuta chuo hajakuomba sim janja mwenyewe unaenda china plaza
Yani ni unafanya automatic and feel proud of yourself
Sasa mi naona tuyaache tu maana ndio maisha
Ilimradi ni watoto na hawana kosa lolote, na wamezaliwa katika himaya yangu, watanishukuru baadayeMwisho wa siku unakuja kugundua watoto wenyewe sio wako,endelea kuwaamini hao viumbe.
Point kubwa hii uziKitu pekee ambacho mwanamke anawekeza kwenye mahusiano ni hisia tu, kwa mwanaume yoyote unaetumia akili kufikiri kikamilifu hawezi kuwekeza kwenye hisia kwa sababu hisia zinabadilika au kuisha kabisa muda wowote.
Huu ni ukweli ambao wanaume karibu wote wanaujua lakini bado wanaendelea kufanya ilo kosa. Wakishapigwa na kitu kizito ndio wanaishia kufanya mauaji au kuwapiga matukio wanawake wengine wakifikiri wnapunguza machungu, kumbe wanawaumiza wasiohusika na maumivu yao.
Mwanaume usibebe iyo risk ya kuwekeza kwa mwanamke, iwe ni kumsomesha, kumuhudumia, kumfungulia biashara, kusaidia ndugu zake n.k, abort huo mpango.
Unajua kwanini wanawake wanaongoza kudai talaka?, sio kwamba wamekua strong women, ila ni kwa sababu hawana cha kupoteza, hawajawekeza kwenye iyo ndoa ukilinganisha na alivyowekeza mwanaume.
Usiwekeze kwa mwanamke kiasi ambacho hauwezi kustahimili maumivu ya kukipoteza, kabla ya kuwekeza kwa mwanamke tambua ya kwamba wewe unapata hasara, yeye anapata faida na ana uamuzi wabkusitisha hayo mahusiano bila kukulipa compensation.
I love you, i love you my brother.
Uko sahihi kwa 100%Kitu pekee ambacho mwanamke anawekeza kwenye mahusiano ni hisia tu, kwa mwanaume yoyote unaetumia akili kufikiri kikamilifu hawezi kuwekeza kwenye hisia kwa sababu hisia zinabadilika au kuisha kabisa muda wowote.
Huu ni ukweli ambao wanaume karibu wote wanaujua lakini bado wanaendelea kufanya ilo kosa. Wakishapigwa na kitu kizito ndio wanaishia kufanya mauaji au kuwapiga matukio wanawake wengine wakifikiri wnapunguza machungu, kumbe wanawaumiza wasiohusika na maumivu yao.
Mwanaume usibebe iyo risk ya kuwekeza kwa mwanamke, iwe ni kumsomesha, kumuhudumia, kumfungulia biashara, kusaidia ndugu zake n.k, abort huo mpango.
Unajua kwanini wanawake wanaongoza kudai talaka?, sio kwamba wamekua strong women, ila ni kwa sababu hawana cha kupoteza, hawajawekeza kwenye iyo ndoa ukilinganisha na alivyowekeza mwanaume.
Usiwekeze kwa mwanamke kiasi ambacho hauwezi kustahimili maumivu ya kukipoteza, kabla ya kuwekeza kwa mwanamke tambua ya kwamba wewe unapata hasara, yeye anapata faida na ana uamuzi wabkusitisha hayo mahusiano bila kukulipa compensation.
I love you, i love you my brother.
Ke wanaotupa Watoto chooni ni wa sayari gani?mimi nitawekeza kwa mke wangu, hata kama sitafaidi mimi kwa sababu labda kwa mabadiliko hayo uliyoyasema bado watoto wangu watafaidi mwanamke hawez kuwatupa watoto wake tofauti na mwanaume
......Mwisho wa siku unakuja kugundua watoto wenyewe sio wako,endelea kuwaamini hao viumbe.
Braza ni ngumu kuzishinda hizi mbinu uumbaji unakataaHizo ni mbinu zao za kimedani Mkuu ili uingie line akupige na kitu kitu kizito.
Ni asilimia ngapi tuliweka kwenye mizani tulinganishe na wanaume wanaotekeleza watoto wao?Ke wanaotupa Watoto chooni ni wa sayari gani?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.